GE2025 Kwanini CCM iliwapunguziamamlaka ya kuchagua wagombea wanachama wake walio wengi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,240
Reaction score
90,297
Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea,

Sasa mwaka 2025 nasikia wagombea wanachaguliwa kwanza kwenye ngazi ya mkoa ndipo wajumbe wanapewa kuchagua kati ya majina matatu tu!

Haya mabadiliko ya kuondoa wanachama wote kuchagua wagombea yalifanywa kwa sababu zipi hasa?
 
Hata huko CCM inahitajika Reforms haraka sana, chama kimehodhiwa na kikundi kidogo cha mafisadi papa.
 
Imewapunguza Ili kupunguza kelele za wengi na kurahisisha kazi ya kuwapitisha waliopangwa tayari.
 
Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea,

Sasa mwaka 2025 nasikia wagombea wanachaguliwa kwanza kwenye ngazi ya mkoa ndipo wajumbe wanapewa kuchagua kati ya majina matatu tu!

Haya mabadiliko ya kuondoa wanachama wote kuchagua wagombea yalifanywa kwa sababu zipi hasa?
Ili iwe rahisi kuhonga hao wachache..
 
Ongezea hapo kwamba katika hayo majina 3...lazima jina la mgombea wa jinsia ya Samia lazima li-prevail walau jina moja kuendelea..

Sasa sijajua je mshindi atakayeibuka katika yale majina 3 ndio atakuwa amemaliza kazi?
Au bado kuna vikao vingine vya juu zaidi vya mchujo beyond regional level.
 
Si kuna viti maalumu tayari?!
 
Si kuna viti maalumu tayari?!
Hem jaribu kufuatilia vizuri.

Yaani ikiwa mpo watia nia 27 wa kiume katika jimbo/kata fulani....hapohapo kuna Watia nia wengine 3 wa Kike Wanawake kukamilisha jumla ya Wagombea 30.

Basi majina 3 yatakayoletwa baada ya mchujo kwenye regional level...Angalau jina moja liwe la mgombea Mwanamke bila kujali sifa zake.
 
Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea,

Sasa mwaka 2025 nasikia wagombea wanachaguliwa kwanza kwenye ngazi ya mkoa ndipo wajumbe wanapewa kuchagua kati ya majina matatu tu!

Haya mabadiliko ya kuondoa wanachama wote kuchagua wagombea yalifanywa kwa sababu zipi hasa?
Iko hivi, jinsi ambavyo uchaguzi wa serikali ya mtaa ulivyo, ndio utakuwa wa madiwani na wabunge na urais.
Jiwe alikuwa mara nyingi chaguzi zake wagombea wanajitoa kwa kuhongwa au figisu nyingine, CCM walichukua hiyo, wasimamizi kufunga vituo, kuzuia kuapisha mawakala,kukimbia kupokea form za wagombea wanaporudisha, mawakala na wagombea kuzuiliwa kuingia vituoni.
Umeona baadhi ya majimbo ya mawaziri wanachama wa CCM wamezuiwa kuchukua form.
Ukishaogopa kuchaguliwa utataka kujichagua mwenyewe, huo ndio muelekeo wa CCM.
Yaani kupita bila kupingwa, kuwa mgombea pekee, form kutolewa moja etc...
 
Back
Top Bottom