Kwanini CCM hawampendi Mbowe?


Kama ni kweli basi fahamu kuwa CCM hawampendi Mbowe kwa sababu ya Upumbavu wake.
 
Mmmm....banduku laleni salama
 
...Mbowe anajua kuwachezea sana vibuyu wa Lumumba.!!
 

"Ulofa na upumbavu katika ubora wake." Nimecopy na kupaste tyu..
 

hoja gani mpya kaijenga tangu aingie kwenye siasa?
 
Maisha hayana fomula moja. Mbowe ni mfanyabishara ya Siasa. Ule Mchango wa kuchangia Kampeni za Rais mlipewa mrejesho ni kiasi gani kilipatikana na kiasi gani kilisalia? Au michango waliyotoa watu pamoja na wale wafanya biashara wakubwa 5 ilitosha kuwezesha kampeni hadi tar 24 Oktoba tu? Na trh 25 Oktoba hata Ths 1 haikubaki? Maisha ni aliki bhana, na wajinga ndo waliwao. Lowassa mlikuwa mnamsifia kuwa ana mihela tele hata kufikia kuamini kuwa hataliiibia Taifa. Sasa kama alikuwa na mihela yote hiyo, kulikuwa na haja gani ya kukusanya michango kuchangia harakati za mabadiliko?
 
mbowe hatumpendi kwa sababu hajielewi! Demokrasia anayoihubiri haitimizi ndani ya chama chake na wanachadema mnajua ila mmeziba masikio na mnaogopa kwa sababu yoyote anayehoji anaitwa msaliti

sio hatumpendi,sema wewe haumpendi mkuuu
 
Mbowe ukue zaidi katika hekima nakuombea.
 
Bila mbowe chadema isingeweza kusimama mpaka leo. Namkubali sana Mbowe fighter wa ukweli asiyenunulika
 
Sio tuzo ya mwaka, anatakiwa apewe ya karne ya 21
 
Vijana anaowekeza si ndio wauawa kama kondoo asie na mchungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…