Wizi wa kura unashikisha wizara zoteInao ulinzi wa hali ya juu sana kuliko nchi zote duniani.
Asante sana kaka mkubwa umeniwahi
Ccm bado inalindwa na wananchi dhaifu kifra.1. mfumo, vyombo vya dola , Tiaraei , na taasisi nyingine zote zinazotumika kuilinda.
2. Upinzani dhaifu
Wrong Sisi wenyewe watanzania tuamke vyama vinapita nchi haitapita mawazo ya vyama tunapotezaVyama vya upinzani dhaifu ndio sababu ya CCM kuendelea kutawala.. Tukiamua kuhamasishana kwa umoja wetu tukapige kura tunaiita CCM.. Lakini leo hii hata wapinzani hawajui wanataka nini..
Mkuu Zillion , hili ni swali la msingi sana, na kwa bahati nzuri, baadhi yetu tuliisha jiuliza hili swali, na majibu tunayo!, kabla sijakupa majibu yangu na matokeo ya utafiti wangu, nina kaswali kadogo tuu kwako, swali lenyewe ni tukiipumzisha CCM, kuna nani wa kumpa?.Watanzania lazima tujiulize hili swali
Ni kwanini C.C.M bado ipo madarakani mpaka leo?
Sawa mrundi.Watanzania bàdo ni wajinga!
CHADEMAMkuu Zillion , hili ni swali la msingi sana, na kwa bahati nzuri, baadhi yetu tuliisha jiuliza hili swali, na majibu tunayo!, kabla sijakupa majibu yangu na matokeo ya utafiti wangu, nina kaswali kadogo tuu kwako, swali lenyewe ni tukiipumzisha CCM, kuna nani wa kumpa?.
P