Kwanini CCM bado ipo madarakani?!

Kwanini CCM bado ipo madarakani?!

Vyama vya upinzani dhaifu ndio sababu ya CCM kuendelea kutawala.. Tukiamua kuhamasishana kwa umoja wetu tukapige kura tunaiita CCM.. Lakini leo hii hata wapinzani hawajui wanataka nini..
Mkuu,sisi wananchi ndo wenye wajibu wa kuiondoa hii serikali wala siyo upinzani.
 
.CM kwa miaka 60 wameshindwa kusambaza maji ya kunywa na umeme wa uhakika kwa wananchi kwanini tunawalea?
Kwasababu wanatumia vyombo vya Dola kubakia Madarakani, wanawatumia Polisi, TISS, Jeshi (refer 2010 JK), wanatumia Mahakama, wanatumia Kila mbinu chafu.... hili alishawahi kulisemea hadharani Bashiru Ally
 
Mkuu Zillion , hili ni swali la msingi sana, na kwa bahati nzuri, baadhi yetu tuliisha jiuliza hili swali, na majibu tunayo!, kabla sijakupa majibu yangu na matokeo ya utafiti wangu, nina kaswali kadogo tuu kwako, swali lenyewe ni tukiipumzisha CCM, kuna nani wa kumpa?.
P
Siamini mtu kama wewe Paskali anauliza swali kama hili. Kumbe tatizo ni kubwa kuliko nilivyodhani
 
Back
Top Bottom