Mi mtoto mweupe ndo kila kitu....kipande cha giza sitaki
Black is beauty white is brightness
Mtu mweusi akijibadilisha kuwa mweupe anakuwa mzuri au kupendeza(ingawa sio wote) ila mweupe awe mweusi ni majanga mfano: vuta sura ya mweupe awe mweusi utapata jibu
Iko assumed kwamba weusi ni ubaya, so ikitokea mtu mweusi akawa "mzuri" (which is an exceptional according to the assumption) ndiyo anaitwa Black Beauty.
View attachment 200940
Iko assumed kwamba weusi ni ubaya, so ikitokea mtu mweusi akawa "mzuri" (which is an exceptional according to the assumption) ndiyo anaitwa Black Beauty.
View attachment 200940
mfyuuuuuu
Na kwanini mweupe anaitwa cheupe dawa?Msichana akiwa mrembo halafu mweusi utasikia anasifiwa kwa kuitwa black beauty, but sijawahi kusikia msichana mrembo mweupe akiitwa white beauty, nini logic ya hii?
Hakuna binadamu Mbaya,weusi wazuri,weupe wazuri,wekundu wazuri nkMsichana akiwa mrembo halafu mweusi utasikia anasifiwa kwa kuitwa black beauty, but sijawahi kusikia msichana mrembo mweupe akiitwa white beauty, nini logic ya hii?