Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

Asante kwa ufahamu huo. ila lipi ni chaguo bora kati ya Forex, bitcoin na Deriv?
Hapo umechanganya instruments tofauti yaani products Forex na bitcoin ni bidhaa wakati Deriv ni broker yaani kampuni inayokuwezresha kufanya miamala.
 
Kwa habari hii tuko karibu sana kuanza matumizi sasa jipe maarifa zaidi kuhusu hili jambo
1673788291266.png
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Broker mzuri wa binary Option Trading ni

@. Olymp trade
2. Deriv
3. Iq option
4. Quotex
 
Ni ma-BROKER gani wa BO ambao wako reliable, yaani hata ukipiga hela kwao haitokuwa ishu maana katika tafiti yangu ndogo nimesikia kuwa kuna wale ambao ukiwa unakula sana wanakupiga pini...
Kuana broker wawili ninaowapenda ila huyu hapa ndio sasa yuko kwenye chart Click hapa upate $10,000 za demo ukiona uko vyema zaidi endelea kufungua live trading account kwa kubovya hapa na ukpenda kutumia kwenye simu BONYEZA HAPA
 
Sasa nimegundua Deriv ndio broker mwenye product nyingi sana za kutrade na option nyingi sana za kufanya kwa anayetaka kujaribu kwa end between/end outside naomba uende kwenye volatity 10 uweke distace ya +4.56 na -4.67 kwa dakika tano halafu trade hizo trade hapo chini ukianzia na dollar kumi CLICK HERE. Halafu kwa Touch No Touch nenda na Volatily 25s weka + 20 kwa dakika nne halafu uje hapa kutoa mrejesho. Hiyo ndio mchango wangu kwa jamii kwa leo



1751016076145.png
 
Kwa tuliofuata plan hiyo na kuingiza above 50% returns tuambiane. Sasa embu fikiria leo ukianza na dollar yako 15 sema target ya jana ya 70% haikufika leo tufanye kwa trade nyingine 33. Mimi yangu ilifika 16.91 huu ni mpango wa 10 dollar or less na kwa kuwa ni hela ndogo tunaenda na position za 30 percent. Nilichojifunza kwa zaidi ya miaka 10 ni kwmba kwenye hizi option trading usipende zile returns zenye 80% returns per trade chukua hizi za 5% or less zitakuja kukupa hiyo returns na ukifika kwenye maelfu ni tamu zaidi. Ukipenda anza na demo kwanza kwa KUCLIK HAPA na ukiwa unataka kuendelea register and LOGIN CLICK HERE. Nawatakia siku njema
1751097316000.png
 
Tuseme hakuna anayefutilia alete feed back
sasa tuko kwenye $100 kutoka 10 if your following please let me know i will love to heare your challeng to join CLICK HERE for qx and here for Deriv CLICK here
 
Back
Top Bottom