Kwanini binadamu hawezi kuumba mtu?

Maana ya ROHO ni mada defu sana kiifanunua, lakin kwa ufupi roho ni uhai unamuwezesha kiumbe hai kuishi.

Nafikiri utakuwa umenielewa.

Ingekuwa inawezekana kuumba mtu basi wangeanza kwanza kuzuia mtu asife.
 
mkuu hebu tafuta maswali mengine ya kujiuliza, natoka hapa sipawezi
 
hebu mkuu tuambie wakati unafikiria kuandika hicho unachokusudia ulikuwa katika mazingira gani unafanya nn na ilikuwaje ukafikiria hay a mambo haukutumia kilevi chochote kweli weka wazi
 

Kiranga yupo hapa kukataa tu na sio kutaka kujifunza na kuwafundisha wengine,kama una muda wa kupoteza endelea nae ......!
 
Kiranga yupo hapa kukataa tu na sio kutaka kujifunza na kuwafundisha wengine,kama una muda wa kupoteza endelea nae ......!

Nimekuelewa vizuri sana. sitorundia tena kuhangaika naye hata siku moja.
 
uyu mleta mada anatumia bangggg ya wapi?ivi ajiulize ivi..gari inaweza kujitengeneza?
 

Attachments

  • 1424420125925.jpg
    11.5 KB · Views: 56
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…