Kutojua square root ya mbili kwamba ni ngapi? haina uhusiano wowote wa kuthibitisha kwamba mungu hayupo. maswala ya square root huwezi kabisa akamfundisha mtoto mdogo akakuelewa nakufuta dhana yake ya kwamba mungu yupo kwa sababu kaumba ulimwengu na viumbe hai.
nimekuambia hujatoa hoja badala yake umetoa mfano wa hoja.
nimesema mungu yupo kwa sababu kazi zake zinaonekana hoja yangu inaeleweka hata kwa mtoto ambaye hajaenda shule hata kichaa anaelewa.
mtumishi wa MUNGU
Eiyer pita huku mkuu eti hata wewe unaweza ukamweleza mtoto wako mdogo kwamba Mungu hayupo kwa sababu hujui square root ya mbili ni ngapi??
Kiranga tafuta hoja nyingine maswala yako ya kutokujua square root ya mbili siyo dhana ya kupinga kwamba mungu hayupo.