Kabla ya kutoa conclusion, awali ya yote tunatakiwa kuangalia trend na kufahamu bei ya mafuta ilianza kushuka lini na kwa upande mwingine tuangalie mzigo wa mwisho Tanzania ulikuja lini. Ikiwa bei, say imeanza kushuka two weeks ago wakati mzigo ulio sokoni umeingia kabla ya hapo then there's no way bei itashuka... mafuta sio kama maharage ya Mbeya kwamba, ukishasikia bei ya maharage imeshuka, siku hiyo hiyo unaweza kwenda na kesho kurudi na mzigo wa bei ya chini.Hivi kwanini bei ya gas kwa ujumla ikiwemo petrol haishuki Tanzania ihali ktk soko la dunia imeshuka or should we say 'the bulk procurement contracts had no futures clauses. I think this is also a ticking time bomb' . Napita tu #uwajibikaji
Hivi kwanini bei ya gas kwa ujumla ikiwemo petrol haishuki Tanzania ihali ktk soko la dunia imeshuka or should we say 'the bulk procurement contracts had no futures clauses' . I think this is also a ticking time bomb . Napita tu. Tunataka #uwajibikaji
Kabla ya kutoa conclusion, awali ya yote tunatakiwa kuangalia trend na kufahamu bei ya mafuta ilianza kushuka lini na kwa upande mwingine tuangalie mzigo wa mwisho Tanzania ulikuja lini. Ikiwa bei, say imeanza kushuka two weeks ago wakati mzigo ulio sokoni umeingia kabla ya hapo then there's no way bei itashuka... mafuta sio kama maharage ya Mbeya kwamba, ukishasikia bei ya maharage imeshuka, siku hiyo hiyo unaweza kwenda na kesho kurudi na mzigo wa bei ya chini.
Delivery ina matter sana katika bei za mafuta.
Mzigo unaoshushwa leo utakuta ulipakiwa na kununuliwa kabla bei hazijashuka.
Lakini tumeona toka kuanzishwa mfumo huu bei zikipanda na kushuka. Tutegemee bei za miezi miwili au mitatu ijayo kuwa zitakuwa na unafuu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
mbona mimi huku nlipo.imeshuka kama week 3 au mbili nyuma.
nakumbuka nlikuwa nanunua 2482/litre ila sasa hivi ni 2120.
Kweli FaizaFoxy ila transparency hakuna na hawa jamaa si wenzetu si unakumbuka walivyoigomea ewura
Kaka mkubwa ktk soko la dunia bei imeshuka hadi viwango vya miaka 10 iliyopita sasa crude ni $70 kwa pipa toka mia na ushee.
Naam nakumbuka na sababu zao ilikuwa, walikuwa bado wana mafuta waliyoyanunuwa bei ya juu.
Kuhusu "transparency" sijakuelewa kwani najuwa ukipitia website ya ewura vingi viko wazi.
Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)
kumbe Amu ni brotherman?
Future contract sawa lakini kwenye suala hili doesn't apply... lazima tuangalie mzigo uliopo ni wa lini. Na ikiwa mathalani mzigo umeingia leo, maana ak ni kwamba umekuwa procured zaidi ya mwezi mmoja uliopita under old pricing lakini linapokuja suala la ku-control bei bulk procurement inakuwa ni rahisi sana ku-monitor bei kuliko uagizaji wa mtu mmoja mmoja! Kama utakumbuka, zamani ilikuwa EWURA wakitangaza bei mpya ya mafuta (kwa maana bei ya chini) kutokana na kushuka bei ya mafuta soko la dunia, baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wanakahidi na kusema wao walinunua kabla bei haijashuka na ku-confirm na hadi ukapitie mafaili lakini kwa sasa hakuna wa kusema hivyo coz' mzigo unaotumiwa na X ndio ule ule unaotumiwa na Y!Katika commodity trading kuna futures contracts and this goes both ways kwa mlaji na muuzaji kama marekani na nchi lukuki bei imeshuka kureflect reality then huu hapa kwetu ni wizi hasa ukizingatia umuhimu wa bidhaa yenyewe ktk uchumi. They must allow free interprise in this venture I am strongly opposed to bulk procurement contracts
Future contract sawa lakini kwenye suala hili doesn't apply... lazima tuangalie mzigo uliopo ni wa lini. Na ikiwa mathalani mzigo umeingia leo, maana ak ni kwamba umekuwa procured zaidi ya mwezi mmoja uliopita under old pricing lakini linapokuja suala la ku-control bei bulk procurement inakuwa ni rahisi sana ku-monitor bei kuliko uagizaji wa mtu mmoja mmoja! Kama utakumbuka, zamani ilikuwa EWURA wakitangaza bei mpya ya mafuta (kwa maana bei ya chini) kutokana na kushuka bei ya mafuta soko la dunia, baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wanakahidi na kusema wao walinunua kabla bei haijashuka na ku-confirm na hadi ukapitie mafaili lakini kwa sasa hakuna wa kusema hivyo coz' mzigo unaotumiwa na X ndio ule ule unaotumiwa na Y!
Bei ya mafuta ya petrol imeshuka sana leo lita moja ya mafuta hayo inauzwa Tsh 1909