wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 576
- 899
Serikali ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliangalie hili la Ukosefu wa taa za usiku barabara ya bahi road kipande cha machinga complex mpaka 4ways ni hatari sana kwa watumia vyombo vya moto na watembea kwa miguu
Lile tuta la katikati ya barabara halionekani nyakati za usiku magari mengi yanalipanga
Lile tuta la katikati ya barabara halionekani nyakati za usiku magari mengi yanalipanga