Halafu wanakuwaga wabishi na wajuaji [emoji23][emoji23]Mko wengi ambao hamkusoma Physical Geography.
Sayansi kila wakati inamthibitisha MUNGU ukisoma bibilia vizuri na kuomba roho ya ufahamu yote yaliandikwa kabla soma kitabu Cha mwanzo 1;1-2 na 1:6 utaona kua iliumbwa Kwanza dunia na ikajazwa maji baadaye maji yakatengw ili ipatikane nchi kumbe kwa kua bibilia ilisha sema kutakua na mwisho kitakacho tokea ni vilevile ilivyo Anza haya ndiyo dariri zake maji kuludia Tena Kama mwanzo suala la mabadiliko la tabia nchi kufuatia uharibifu wa mazingira ni sehemu ya mchakato wa kufikia mwisho fanya utafiti wako uliza wazee wanaoishi jaribu na maziwa au bahari watakuambia walikua wakulima Kyle ambalo kumejaa maji mfano kutoka bunda kwenda ukerewe walikua wanakwenda kwa miguu Leo maji yamejaa mpaka uvushe na vyombo na ni sehemu nyingi za mifano hiyo je barafu ya kizio Cha kusini au kaskazini inatiririsha maji ziwani?Thanks
Haya mbona hayapungui maan mengine sis wanadamu na ng'ombe huwa tunayanywa. Ng'ombe ni kiwakilishi tu.Haijai kwasababu bado hayo maji ni maji yake.
Yanavukizwa, kisha mawingu alafu mvua. Baada ya mvua mito inayarudisha maji hayohayo baharini
Kiujumla maji ni mamoja
Siku ikijaa hutakuwepo ww.....Habari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
We njemba ulikuwa wapi baharia?....Kwa sababu na yenyewe huwa inasafiri
Vp yale tunayoyanywa wanadamu na viumbe wengine? Mbona hayapungui?Jibu no rahisi Sana, chukua maji kwenye ndio, zungusha mabomba madogo ya juzungusha maji Kisha Hilo Bomba lielekeze kwenye ndio hiyo hiyo Kama tunavyoona kwenye mahotel jumbani mwetu kwenye sehemu ya kutiririshia maji mapambo.
Kwa ufupi maji ya bahari hupenyeza kwenye ardhi, miamba na kusambaza Chini ya ardhi tunapochimba tunayarudisha Tena juu. Bahari inapopigwa jua mvuke huenda juu na kutengeneza wingu ambalobaadae huyudi Chini Kama mvua.
Huo mzunguko hauwezi kujaza maji bahari zaidi kumaintain.
Sasa nyongeza ya maji tunaipata kutoka kwenye barafu inayoyeyuka kwenye Northern and Southern poles.
The rest I recycling
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi kavu na bahari kipi kikubwa? Nchi kavu?...kasome tena vyanzo vyako vizuri [emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
We jamaa kumbe huwa una akili kiwango hiki [emoji848]Factor moja inayochangia kasi ya evaporation ni surface area. Sasa ziwa Tanganyika lina uwiano wa kina kwa surface area ambao unafanya evaporation iwe ya chini sana - yaani ni effect ya ziwa kuwa deep sana wakati ni jembamba. Kwa hiyo ukiangalia rate ya maji kuingia ziwani na ku-evaporate basi litajaa zaidi.
Pia upepo juu ya ziwa ni factor ya kuongeza kasi ya maji ya ziwa ku-eveporate. Ziwa Tanganyika liko kwenye lift valley, ambapo kunaweza kukawa na effect ya kulikinga ziwa na upepo mkali juu ya surface ya maji, ukilinganisha na bahari ambazo hazina protection yeyote.
Unapopuliza chai ili ipoe, unachofanya sio kupooza chai kwa pumzi yako, bali unaongeza rate ya evaporation ya chai yako, na inavyo evaporate kwa haraka zaidi ukiipuliza ina draw heat kutoka kwenye body ya chai, na hivyo chai kupoa.
Mifugo pamoja na sisi tukinywa maji au tukiyafanyia maji chochote huwa hayapungui hata tone maana yanarudi kwenye mzunguko wake uleule.Haya mbona hayapungui maan mengine sis wanadamu na ng'ombe huwa tunayanywa. Ng'ombe ni kiwakilishi tu.
Hahaha! Sawa Mkuu, nimekusikia.We jamaa kumbe huwa una akili kiwango hiki [emoji848]
Am very sorry nilikua nakuchukulia kama taga flani kumbe siyo kabisa, kongole mkuu.
Aisee, umenifurahisha sana pale uliposema piga honi kwa taratobu usije mkera unayemu overtake [emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha! Sawa Mkuu, nimekusikia.
Mkuu, hata nilipoweka hii thread hapa chinihukuwa impressed. maana hapa ndio nilisifiwa sana
Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mifugo pamoja na sisi tukinywa maji au tukiyafanyia maji chochote huwa hayapungui hata tone maana yanarudi kwenye mzunguko wake uleule.
Ukinywa maji, maji hayo yanarudi tena kwa kukojoa, utatema mate, utaenda haja ambayo kitokacho bado kina maji, utatoa jasho nk.
Maji hayo yanapotoka mwilini kwa njia hizi nyingi yanavukizwa na jua tena alafu yanarudi kuwa maji masafi kwa mfumo wa mvua
πππ Kama uliweza kutoka wakati umefikia kupoteza uelekeo wewe ni commando! Unajua niliwahi kufanya course ya kujiokoa kutoka helikopta iliyozama majini. Japo lilikuwa ni pool tu la maji lisilo na kina kirefu, kuna watu walikuwa wana panic hadi wasimamizi wanapiga mbizi kuwaokoa! Mtu anapanic anajaribu kusukuma floor ya pool akijua hiyo ndio njia ya kutokea! Unamuuliza sasa pale ndio ulikuwa unafanya nini anasema nilidhani bado niko ndani ya helikopta nasukuma mlangoπππAisee, umenifurahisha sana pale uliposema piga honi kwa taratobu usije mkera unayemu overtake [emoji23][emoji23][emoji23].
Pia niliwahi poteza uelekeo wa wapi ni juu, chini, kushoto, kulia nikiwa ndani ya maji, aisee acha tu unaweza kufa kirahisi sana. Kifupi umetema madini ya kufa mtu kwenye huo uzi. Sina neno zuri zaidi ya kusema uko vizuri sana mkuu.
Yalishawahi kupungua kidogo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sawa lakini mhuu, so mkuu una maana maji hayajawahi kupungua wala kuongezeka toka dunia ilipoanza, I mean total volume of water from the beginning of Earth is the same as the current volume?
Yalipungua kwa sababu zipi mkuu?Yalishawahi kupungua kidogo
Kwa kupitia takamwili zinazoachwa nje ya anga la dunia kutoka kwa wanasayansi wanaofanya safari za mbaliYalipungua kwa sababu zipi mkuu?
Hivi wewe kipepe !!!! Zaidi ya actually na in the matter of fact unajuwa nn kuhusu bahari?Mko wengi ambao hamkusoma Physical Geography.