Kwanini bahari haijai?

Geographic analysing
 
Maji ya kwenye sufuria jikoni yanatoa mvuke na ku-everporate yakifikia nyuzi 100 za centigrade,sasa yale ya bahari na kwenye madimbwi yanawezaje ku everporate bila kufikia nyuzi 100 za centigrade?
 
Kwaiyo kwenye ziwa evaporation na condensation hazitokei?[emoji848]
 
Mnajua nyinyi wanajografia wa humu bhana anyway ngoja na mimi ni changie hapo kidogo kwanini maji ya bahari haya jai ni kwasababu kwanza maji yanasafiri mara nyingi usiku usije kushangaa unakuta maji yamekuja kukusalimia, kama usiku huo kuna sehem kama kantalamba huku kwetu ni mchana yanakuwa yameondoka i mean yapo kidogo na unavyojua mchana kuna kuwa na jua na jua linalopiga baharini mzeee ni hatari kwasababu hakunaga miti lazima liwe kali sasa pale maji yana potea kwanjia yakisayansi yani evaporation (mvuke) unajipandia zao huko juuu ilo tena ni swala lingine haya sasa kule kwenye usiku napo kuna kuwa na ile moisture mambo yakitaalam zaidi hapo sasa (umande) unatokanaje turudi kumuuliza marehem yule aliyekuwa anafundisha pale msimbazi center ni hayo tu kwa leo
 
Kwanini maji yakijaa eneo la kati linaweza kuzama minazi hata mitatu lakini yakitoka(yakikupwa) hilo hilo eneo la kati ni flat hakuna shimo la kuzamisha hiyo minazi mitatu yaani mwanzoni na hapo kati papo level moja.
 
Kwa kifupi ni water cycle(hydrological cycle)
 
Mkuu kumbuka asubuhi na mchana maji yanaingia baharini Yani hayapoi Sasa hapo rate ya kuevaporate si ni ndogo Sana kuliko rate ya maji yanayoingia baharini?
 
Maji unayoyamwaga nje baada ya kuosha vyombo au kufua, au unayomwaga kwa njia ya mkojo chooni kesho tena utakuja kuyatumia hayohayo

Maji yanayotiririka kuingia baharini yatakaa baharini kwa muda mfupi tu na kurudi milimani au ardhini yalipotoka, Maji hayapotei kamwe.

Hii yote ni kwasababu ya process tatu yaani Evapotranspiration, Condensation na Precipitation

Kutokana na processes hizo Bahari haijai /haitapiki maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…