kwanini backberry company (RIM) imeanguka

we hujui simu FYI blackberry is not even a smart phone.... your being disrespectful by comparing blackberry to galaxy and lumia!!!
 

HTC ninayo moja mkuu hazijasimama sana kama simu nyingine za android ukiniuliza Mimi Naona tecno android bora zaidi kuliko HTC, pili umekubaliana nami rim walizidi urasimu hiyo os Yao tuu Angalia walivyokimbizwa sokoni baada ya android kuingia nadhani kama android ingekuwa BB kwanza nchi maskini kama Tanzania tusingekuwa nayo, mawazo yangu tuu..
 

Yan una compare techno na htc one kaka, you must be kidding. Techno zile siyo simu za maana sema watu wanazishadadia kwasababu ya android lakini hardware bado sana
 
we hujui simu FYI blackberry is not even a smart phone.... your being disrespectful by comparing blackberry to galaxy and lumia!!!

Bberry ilianza kuwa smart phone hata kabla ya watu kujua smart phone ni kitu gani. Iphone ya kwanza was merely a smart phone sema innovation yao ilikuwa ya juu ndiyo maana ikateka soko
.
Ukisema samsung galaxy s series nakubari lakini hivi vi galaxy vingine hakuna lolote vinabebwa tu na android.
Lumia ni mashine kubwa ila windows phone os inaidondosha chini ingekuwa imebeba android nadhan samsung wangehanya.
 
kibiashara Blackberry ilianguka baada ya duplication ya muundo wake wa simu (kutoka kwa wachina) na kuanza kuharibu reputation iliyokuwanayo, initially blackberry ilikuwa cm ya class flan baada ya duplication wale watu wakaona status yao inashuka kwa kuwa ilikuwa ngumu mtu kutofautisha original na replica watu wakaamua kupunguza kuinunua blackberry.
 
Hayo ni mawazo yako, hayana ukweli hata kidogo.
 

Mkuu ulicho andika hapa hakina hata tone moja la ukweli
 
Kulinganisha HTC na Tecno ni sawa na Ferrari ukailinganisha na Corolla.
 
imeanguka cause its too real...now people change to fake you know..e.g camera 360 n.k
:smile-big:
that implies too many ppl turning fake
 
sidhani kama kunipa bure kuna relation na kutokuwa na ubora wake hiyo simu ilikuwa boxed haijatumiwa na ukiulizia dukani inazidi bei ya simu nvingi zinazo run android sokoni kwa hiyo kanipa tu kwa mapenzi yake.

Usijali ndugu yangu nilitania tu, nadhani hujakwazika!
 

Duh! Ulitumia nini kuwaza hiki ulichoandika?
 
kimeo hazina app za maana spare zake ghali internet mpk ulipie thn zina tabia ya kufa ovyo hata matengenezo yake ni shida hasa kma imefia upande wa hardware coz mabati yake ya earth yapo permenent na circuit full kimeo...
 

Endelea kutumia BB siku unahamia iOS 7 ndo utagundua such a huge difference

Kwanza dunia ya phyical keyboard imepitwa na wakati

Small screen ya most of BB smartfones inaboa

Inabidi kununua salio mara mbili mbili la bundle plus matumizi ya kawaida

Inaniboa inavyojifikiria muda mrefu kuwaka utadhan inatongozwa

Muonekano wa Applications ni kama vi picha vya kuchora

Nk nk

Nilishatumia BB, na sababu pekee itakayonifanya nirudi kutumia BB ni kuandika message kwa speed na attractive small and customized font
 

Mimi ni mtu wa kuchati sana napenda simu yenye physical keyboard maana inaniwezesha kutype bila kuangalia keboard. Ios 7 sijatumia so siwezi comment
 
Mimi ni mtu wa kuchati sana napenda simu yenye physical keyboard maana inaniwezesha kutype bila kuangalia keboard. Ios 7 sijatumia so siwezi comment
wewe ni kama mimi mkuu, touch uwa inanizngua
 
ujue qwerty imepotea sio kwamba touch ni bora bali haina innovation toka miaka hio still ni zile zile hadi watu wameboeka. angalia microsoft na patner wake kwenye pc kila siku wana innovate keyboard kiasi kwamba mtu hata akiwa na tablet ya touch haoni raha hadi awe na touch cover.

kuna maeneo mengine touch tupu its okay kama kubrowse vile ila kama unaandika makala au unachat barabaran na sehemu ambazo utaangalia mara chache simu pia touch ni majanga na wale wazee wa assignment touch ni majanga.

kuna concept za touch cover za simu hizi nafkiri zinaweza kukidhi mahitaji ya wote watu wa touch na physical keyboard zicheki hapa chini.

1. mwanzo keypad zako zinakua kama cover la simu zinaprotect kioo cha simu na simu kwa ujumla


2. baadae unaweza lile cover kulikunja katikati juu ikawa screen unayotumia na chini kama physical qwerty



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…