Kwanini baadhi ya Watanzania hufurahia sana mabaya yanapotutokea kama Taifa?

Hii kuungana ni kwa faida ya nani? Hao wanaohoji wanahoji unyama wanaofanya viongozi dhidi ya wananchi wao wenye mitazamo tofauti na wao. Vyombo vya dola ambavyo vilipaswa kuwa neutral nao wako upande wa wakandamizaji. Na kama viongozi wanakuja na kupita, basi wakae pembeni sasa tuongozwe na wengine wanaokubali kukosolewa. Ukisema tukiangalia sana mambo ya kisiasa kila mtu ana mtazamo, ni kweli ila tatizo linakuja pale wenye madaraka wanapolazimisha mitazamo yao ndio iwe ya wote kwa lazima.

Hatuko tayari kuongozwa kwa kuburuzwa, kila mtu aheshimu mawazo ya mwingine. Sisi ni wazalendo kwa taifa letu lakini sio kwa serikali hii, tunataka tume huru ya uchaguzi maana hatuko tayari taifa letu kulazimishwa kuongozwa kwa mifumo ya kijamaa. Hao wazungu mnaosema kuwa ni maadui zetu tunajua sio maadui zetu, bali viongozi mahayawani wenye ulevi wa madaraka ndio wanapotosha ili waendelee kutukandamiza.
Kuna swali ningependa kukuuliza.
Je wewe mwenyewe ni mkamilifu 100% Kama jibu si HAPANA.
Basi hamna mtu walaKIONGOZI yeyote hata MAGUFULI mwenyewe ana mapungufu mengi tu. Kma alinyokuwa nayo MWASISISI wa Taifa letu Mwal. JK Nyerere.
Ndo maana hata kabla hajaachia madaraka alisema nami namnukuu, "KUNA MAKOSA MENGI TULIYOKOSEA KAMA serikali MAAMUZI.."
Hilo linaonyesha hamna mwanadamu aliyekamiilika.Tusidaganyane.
 
Vibaraka mkuu hawajaanza leo ndiyo Nyerere aliwaita Malaya na akasema watasakwa popote walipo. Huwakumbuki wakina Kambona and his co.? Lakini hawakufaulu walirudi wakiwa wamechoka sana na wakafa kama mbwa aliyekosa malisho unacheza na mabeberu wewe! Hata hawa itakuwa hivyo tu usicheze na watz wewe!
Wanahitaji msaada wa maana ya uzalendo ni nini.
 
Hujajibu hoja ya msingi.

Mtu akifurahia serikali imeshurutishwa kulipa deni halali hapo anafurahia haki kutendeka au anafurahia mabaya kwa nchi?

Wewe unapenda serikali isilipe madeni yake halali? Ilimbikize interest na deni liwe kubwa zaidi?

Unaelewa serikali kutolipa madeni yake halali kunaichafulia nchi jina?

Unaelewa anayefurahia nchi kushurutika kulipa madeni halali anafurahia nchi kuondokana na aibu ya kutolipa madeni?

Sasa mtu anayefurahia nchi kuondoka katika aibu ya kutolipa madeni atakuwaje anafurahia mabaya kwa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakuelewa. Ila namna ya presentation ndo inayohitajika.
 
UZALENDO huwa ni kwa TAIFA na si SERIKALI. Na kuikosoa na kuipinga serikali DHALIMU ni UZALENDO DARAJA LA KWANZA. Magufuli na CCM si TAIFA. Ni kundi tu lililopewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza TAIFA. Hata wao wanawajibika kuwa WAZALENDO.

Mfano mzuri wa UZALENDO ni kama ule wa Prof. Assad aliyefukuzwa kwa kuibua madhaifu ya yule mungu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Haya bhana.
 
Hivi kwa mfano Benjamin Mkapa aliyewafukia wachimbaji kwenye mashimo Kule Bulyankhulu kisha akawapa mabeberu mgodi ndo mzalendo??.

Au Jakaya Kikwete aliye wapiga na kuwalawiti wanamtwara kisha akauza gesi, kwa bei poa, huyo kwako ndo mzalendo.

Au john pombe magufuli aliyeisababishia nchi hasara ya Tshs. Bill 2.5 akaishia kumfukuza kazi CAG mwadiliffu, huyo kwako ndo mzalendo??
Kama mngekutanan nao ana kwa ana pengine wangekuwa katika nafasi nzuri ya kukujibu. Maana siwezi kujibu kwa niaba yao maana mimi si msemaji wao.
 
Hivi hebu piga picha. Familia yenu ina watoto wanne na wote mnasoma shule moja. Lakini kila asubuhi, wewe unaambiwa kapande daladala, hili gari watapanda wenzako watatu tu. Hivi siku hilo gari likianguka na kuwaka moto utajisikia vibaya??

Long story short

Uchaguzi ukiisha, kazi ya kwanza ya kiongozi ni kuachana na campaigning mode na kuingia kwenye leadership mode. Kiongozi lazima aelewe kuwa, wengi wanapewa lakini wachache wanasikilizwa na kuheshimiwa. Ukishakuwa kiongozi lazima uelewe kuwa, wananchi wote, wana kiongozi mmoja, hakuna Rais wa CCM; kuna Rais wa Jamhuri.

Haya unayoyaona ni matokeo ya Rais kushindwa kuunganisha taifa baada ya uchaguzi na kujenga tabaka la watu wanaona wao ndio "wenye nchi" na wengine wanaona wamekuwa watumwa ndani ya nchi yao. Wanaona, hata gari likipata ajali na kuwaka moto, hawana cha kupoteza.
 
Jiulize, Kwa nini wanawake wengi sana hunenepa waume zao wakifa?? Ukiweza kulipatia jibu hilo nadhani utakuta kuwa ni hicho hicho huwafanya watz wengi kufurahia. Mjirekebishe tu itatosha
Kunenepa kwa wananwake baada ya wapendwa wao kufariki kunaletelezwa na factor nyingi sana.
MOJA iliyo kuu ni kuwa huwa katikahali ya DENIAL/KUTOAMINI.

Matokeo yake kupata DEPRESSION/MSONGO wa MAWAZO ambao huwa drive kula zaidi kama comfort kind of ili kusahau na kuona rafiki aliye karibu ni CHAKULA. Waulize Madaktari waliobobea watakujulisha haya.
Kwa hiyo mfanao wako hauhusiani na hili hata kidogo.
 
Hivi hebu piga picha. Familia yenu ina watoto wanne na wote mnasoma shule moja. Lakini kila asubuhi, wewe unaambiwa kapande daladala, hili gari watapanda wenzako watatu tu. Hivi siku hilo gari likianguka na kuwaka moto utajisikia vibaya??

Long story short

Uchaguzi ukiisha, kazi ya kwanza ya kiongozi ni kuachana na campaigning mode na kuingia kwenye leadership mode. Kiongozi lazima aelewe kuwa, wengi wanapewa lakini wachache wanasikilizwa na kuheshimiwa. Ukishakuwa kiongozi lazima uelewe kuwa, wananchi wote, wana kiongozi mmoja, hakuna Rais wa CCM; kuna Rais wa Jamhuri.

Haya unayoyaona ni matokeo ya Rais kushindwa kuunganisha taifa baada ya uchaguzi na kujenga tabaka la watu wanaona wao ndio "wenye nchi" na wengine wanaona wamekuwa watumwa ndani ya nchi yao. Wanaona, hata gari likipata ajali na kuwaka moto, hawana cha kupoteza.
Hajaunganisha wanananchi ama taifa kwa naman gani?
 
Ni swali linalonishinda kujijibu. Labda mnisaidie kuelewa.
Ni kwa nini hasa baadhi ya Watanzania hufurahia sana wakati nchi inapitia changa moto mbalimbali, na hasa zinazohusu KUSUTWA ama kunyimwa misaada na wafadhili?

Ndege yetu ilipokamatwa SA, wengine walipiga vigelegele vya furaha, tunapotaka kuwekewa vikwazo vya misaada ya kiuchumi ambayo ingewasaidiaWatanzania wengi vijiji, baadhi wanafurahia sana na kusherehekea.

Si kila jamabo ama maamuzi anayoyafanya Rais Dr J.PMagufuli ni aslimia 100.

Ana mapungufu mengi, Wakati mwingine ametoa maamuzi ambayo si kamilifu. Nina maana yeye si Malaika.Amajikwaa mara nyingi kwa misemo ama maamuzi.

Je, hili ndio yaweza kuwa sababu ya kuchukia kwa baadhi yetu na kumweka kwenye public lynching/ hadharani ili kuungana na maadui wa Taifa letu wanao tuonea wivu?

Kwa nini hasa baadhi wanafurahia sana tunapoingia matatizoni kama taifa?

Nini Tatizo la watu kama hawa?

Siasa uchwara. Kuna watu wako wanachama zaidi kuliko watanzania.
 
Wamechukua haki yetu ya kuishi

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Kwasababu hatuko wamoja na hatusikilizani. Hivyo mwananchi mmoja anaweza kabisa akawa na mtazamo tofauti wengine wanapigwa risasi na wengine wako wanafurahia. Hivyo hata mambo ya taifa ni yapi maana wengine wanaona demokrasia na watu kuwekwa jela ovyo ni jambo la kitaifa wengine hawaoni hivyo. Kwanini haya mambo yanayokea sasa jiulize? Usisingizie mabeberu 😂
 
Back
Top Bottom