Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
 
Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
Muulize kwanza mwenyezi mungu ambae hakumuumba mwanamke, bali akamtoa tu ubavuni mwa mwanaume..

Yaani nikubebe katika uumbaji halafu uje unifanyie kiburi?

Haiwezekani
 
Utazeekea kwenu, hata vitabu vya dini havijampa mamlaka mwanamke juu ya mwanaume
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.

So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
 
Akishajua hizo haki ajitolee mahari na kujioa, tokea enzi za kale wanaume tulipewa kazi ya kuwapenda wanawake nao wakapewa agizo la kututii basi..hizo haki unazosema ndizo huondoa utii na ndo maana nikikupa kazi ya kuniletea wenye kujua hizo haki ambao wameoleka hutaniletea.
 
mwanamke ameumbwa kutawaliwa sasa akiwa much know huku uwezo wake wa kufikiri ukiwa mdogo inakua hatari sana watu waliooa wanalijua hili unaweza kukuta mama kwa uzembe tu alikua anasukana na wenzio anaacha mtoto anaenda kuungua na maji ya moto you can mention alot of uzembe ambao wanaume tunauvumilia
 
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Wewe unafaa kuolewa na mwanaume mwenye element za kike la sivyo utakuwa unachezea mabanzi kila siku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom