Mkuu.Hii ni dini ya watu wa kabila moja na ni wabaguzi hawataki watu wengine waingie kufaidi matunda ya nabii wa Aghakhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Uislam ni dini ya waarabu lakini hadi watu wengine wanashisiki, vivyo hivyo kwa wakristo ni dini ya masharti ya kati.Hahaha ile ni dini ya jamii hiyo ya kihindi, sawa na kuuliza mbona sijaona muhindu mweusi. Ismailia ni wahindi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Uislam ni dini ya waarabu lakini hadi watu wengine wanashisiki, vivyo hivyo kwa wakristo ni dini ya masharti ya kati.
Waliwapa hizo dini zao ili wawatawale kiuchumi, kisiasa, kitamaduni na kijamii, yaani mmekwisha kabisa nyie mlioacha imani zenu na kufuata dini na tamaduni za wakandamizi wenu.Mbona Uislam ni dini ya waarabu lakini hadi watu wengine wanashisiki, vivyo hivyo kwa wakristo ni dini ya masharti ya kati.
Bora ukomae na ukatoliki au uislam wako pengne utakutoa mkuu na peponi mtakuwa shazi sanaAisee
Vipi kuhusu dini ya uyahudi?Dini zote za kikabila huwa hazitafuti waumini.Dini za kiasili za makabila huwa hazitafuti waumini.wa makabila Mengine.Ismailia na wahindu ni dini za kikabila.Mhindi hatafuti muumini asiye muhindi kujiunga na dini Yake.Ila dini zisizo za kikabila hutafuta waumini mfano Wakristo madhehebu yote Wana wamisionari ambao Toka miaka hiyo wawe katoliki au wamisionari Walokole kazi yao Ni kusaka waumini Kuanzia Roma Hadi Tanzania na ulimwenguni.kote uwe uanglikana,ulutheri nk
Hata wao Ni ya kikabilaVipi kuhusu dini ya uyahudi?