Kwanini baadhi ya dini kama "Ismailia" hazihamasishi wala kushawishi waumini wapya kujiunga nao ?

Hello,
Imekuwa ni kawaida kuona baadhi ya dini zinatumia nguvu kubwa sana kushawishi watu kujiunga nao.
Tena kuna baadhi ya dini zinatumia mpaka vitisho na mapigano kuhakikisha wanapata waumini wapya.
Sasa inakuwaje baadhi ya dini kama hawa Ismalia hatuoni harakati zozote za kutafuta waumini wapya ?
Ni sawa na kusema mbona wachaga hawahamasishi watu kuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna dini inaitwa Ismailia

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa hakuna dini inaitwa Ismailia ila kuna dhehebu la kiislam linaitwa Ismailia kama ilivyo hakuna dini inaitwa ukatoliki au ulutheri bali ni madhehebu ya dini ya kikristo watu wanachanganya sana mafaili kuhusu mambo haya.
YESU hakuleta ukristo ila alileta INJILI neno ukristo ni sisi tu tuliamua kujiita hivyo.Mtume MOHAMEDI hakuleta uislam bali alishushiwa QURAN tufuate habari za mungu sisi ndio tuka coin jina tukaita ISLAM.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom