Kwanini baadhi ya ajira za mashirika ya umma michakato yake haipitii utumishi?

Ina mana TPA si mlifanya Oral January? Mbona kada za february wameshaita? Kwanini nyie bado au imekuaje mkuu
Mkuu nadhan mchakato haujakamilika bado lakini interview tayari tangu January nilihisi juzi wametoa mana niliona majina lakini kucheki sikuona watu wa TPA hivo ninaamini wataita tu wale wale waliofanya interview vinginevyo Ni rahisi kujua kama kuna udanganyifu kama wataita watu wengine sababu majina ya walienda oral interview pia yapo hvo tutacompare tu kujua kama kuna udanganyifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mchakato unachukua muda gani kukamilika?
 
L.mm.mpl..lllmpl Mmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea mengi na mengi ni sahihi, lakini kuona kwamba PSRS ndo solution ya matatizo kitu ambacho si sahihi moja kwa moja mana hata uku kuna ulasimu pia na uhuni mwingi tu. PSRS wanafeli nao katika huu mchakato wa ajira kwa asilimia kubwa maybe 70% of failure mfano kuna kazi walitangaza mpaka leo miezi tisa inatimia hawajatoa feedback au Tangazo la kuitwa kazini zinabaki tetesi tu kwamba kuna watu walishaingia kazini,.
 
Mtu anaepata kazi ujue ni tamisemi
 
Kuna Mazingira lazima uanze internal advert km mtu kajiendeleza kwa nn asipate?.hii hupunguza internal conflicts na ukute aliejiendeleza anajua mengi, kuliko mpya.. Pia km mtu kajitolea miaka 3 kazi imetoka lazima umrekomend ikiwa tu ana vigezo. Lakini km ni wale ambao wanajitolea, hajakabidhiwa anakiburi dharau nk huyo ni kuto mrekomend. Kuna faida kumrekomend mtu aliejitolea maana anajua Mazingira ya kazi kuliko mtu mgeni anaefuata green pastures tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…