Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Nilikuwa Kimara tunahaha kumtoa dogo mmoja walimkata... Tukiwa pale kwa kweli naomba mh mkuu wa askari magereza hii ni aibuu kwa askari zako
Mahabusu wamefika wameingia ndan gafla wanakuja ndugu wanataka kuwapa chakula ...Kaka mmoja mweusi hapa Mahakama ya Kimara mwanzo katoka. Magereza....Anawasimamia wanawarudisha kabisa wasipeleke chakula.
Ni aibu sana mahabusu wanapiga kelele mahakaman njaa jamani tunakufa njaa wakati ndugu wamekaa nje na chakula mnawakatalia
Baadae nikaona mmoja wa askari magereza katoka nje wamemfwata madada watano waliokuja na chakula gafla wanarudi na chakula wanaenda moja kwa moja kuwapa
Wananyanyuka wengine kupelekea ndugu zao askari wanawazuia..Sio sawa
Tunaomba kuwepo na ufwatiliaji mahakamani hasa kwa askari wenu wanapokuja na mahabusu
Nao wanahaki kama wengine kula..Kufunga na matakwa ya mtu binafsi
Mbarikiwe