Kwanini asilimia kubwa ya watu mashuhuri wanakuwaga na majina ya kipekee?

Watu maarufu /mashuhuri wengi wanakuwaga na majina ya kipekee au hadimu yani unakuta hilo jina analo yeye tu na ukoo wake .
Mfano:
1.Nyerere
2.JW Bush
3.Osama
4.Gadaff
5.Lowassa
6.Kikwete
7.Mkapa
8.Magufuli
9.Makonda
10.Mbowe
11.Trumph
12.Obama
13.Nape Nnauye
14.Tundu Lissu

Huu ni mfano tu lakini naamini wapo wengi sana ambao ni mashuhuri ambao katika majina yao kuna jina hujawahi kulisikia sehemu nyingine.
hakuna ukweli wowote hapo, hayo majina mbona yapo sana
 
Kama haya majina MONDRAY hua ni maarufu sana na hayapatikani kwa watu wengi
 
Back
Top Bottom