Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
-Squatters
-income levels ie mostly wa kipato cha kati na chini ndio wengi
-Social services (maji umeme barabara)
-Other factors kama civilisation
-Entry point ambapo tunasema tangu awali ilionekana ni makazi ya watu wakawaida.
-Usalama

Ukanda huo wote kuanzia Temeke,Mbagala na kuendelea huko chini vikindu,kisemvule mpaka huko mkuranga wamejaa waswahili hata Uuzaji wa viwanja ndo ule wa Futi (40ft×50ft) Viwanja vingi vya Mbagala havijapimwa ...wauzaji wanafanya makadirio tuu Unauziwa bila kujali uelekeo ndo maana unakutana na nyumba zimekaa hovyo hovyo
Haya yote yamewafanya watu wengi kuwa discouraged
Lakini ukanda huo ni mzuri sana kwa viwanja vya biashara (viwanja vinavyotazamana na barabara kuu)
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?