Kwanini anti-CHADEMA/UKAWA wanasemea Star TV tu?

Kwanini anti-CHADEMA/UKAWA wanasemea Star TV tu?

ukitaka umalize siku yako kwa amani usijaribu kuangalia tbc na star tv

TBC ba Star TV hata siku moja hukuti wameweka kampeni za Lowassa.Kwa Star TV naweza kuelewa lakini kwa TV ya Taifa sielewi kabisa.
 
Hiyo ndio weakness nyingine kubwa ya Lowassa, anaongoza kuwa na bifu zisizo za lazima.

Hapana. Majuha tu - kwa wivu wao - wanatengeneza bifu za kipuuzi. Lowassa huwa hata hawajibu wale wote wanaolianzisha.
 
Inashangaza kuona bado kuna watu wana support CCM

Kuna list (just google)ya nchi ambazo watu wake wana IQ ndogo Sana na Tanzania is amongst them.So ukiona mtu anashabikia ccm yupo hivi.1.Ana IQ ndogo.2.Ananugaika na mfumo huu either kwa rushwa mahali alipo,upendeleo(due to incompetence)na kanunuliwa
 
Sasa anawaacha vipi na upuuzi wao umkoseshe yeye urais.

Anaamini katika falsafa ya ''huu ni upepo tu, utapita''. Kwa kiasi flani huu ''upepo'' wa Richmond naona kama umeshapita. Sasa kuna santuri mpya za ugonjwa, sijui bubu and the like.
 
hiki kituo cha television kinatia kichefuchefu siku hizi!
 
Back
Top Bottom