Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Ukiachilia mbali makada wa CCM,ambao kimsingi ni wapinzani wa CHADEMA/UKAWA,wanasiasa wote ambao wanazungumza kwa kuiponda CHADEMA/UKAWA hupitia Star TV. Kwasasa,vipindi vya Tuongee Asubuhi na Ajenda Uchaguzi 2015 vipo kwa ajili ya watu hao.
Kwa siku za karibuni,Star TV haijawahi kumkaribisha mwanasiasa au mwananchi mwenye mtazamo wa kuwaunga mkono CHADEMA/UKAWA. Star TV haiwachanganyi wenye mawazo tofauti ya kisiasa kama walivyo ITV,Azam TV na wengineo. Kwanini? Ina tofauti gani na TBC1?