Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Hadi utoe ndio utakuwa na raha.mbona sina raha jamani
Hadi utoe ndio utakuwa na raha.mbona sina raha jamani
Nimejikuta nacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaweka marinda yako rehani
Hahahakama wewe haujui cha kufanya sisi tutajuaje?
inabidi tuongee hapa panatosha sihitaji kuishi kwa mashaka tenaHadi utoe ndio utakuwa na raha.
Ooooh afadhali mwisho umekubali sasa!!!inabidi tuongee hapa panatosha sihitaji kuishi kwa mashaka tena
utafanya niikimbie jf
[emoji109] [emoji109]Ukipimwa oil naww uje utuadithie
nimebadili mawazo hakuna talakaOoooh afadhali mwisho umekubali sasa!!!
Kwahiyo lini unanipa?
Mweeeeeh!!nimebadili mawazo hakuna talaka
kumbuka tuliapa hata kifo hakitatutenganisha nini kimekukuta nani anakudanganya