el pincaso
Member
- Dec 13, 2016
- 67
- 55
Tatizo vijana wengi wanaomaliza hawawazi nje box, kazi wanataka za ofisini kisa mtu ana degree... Chengine JKT hai ajiri wanasisitiza kila siku wale jamaa wa JWTZ kwenye Media....... Cjui tunafeli wapi kutafuta uelewa wa mamboMpaka Leo vijana wengi wako mitaani na degree zao ,hakuna ajira waalimu hawapandishwi madaraja,
Vijana wa kitanzania leo hii wanaenda jkt kufundishwa ukakamavu..s kwel watu wanaenda kutafuta ajira bt wanakalishwa miaka halafu leo hii wanarudishwa mitaan je wafanye nini huku au mnataka watukabe
Wahitimu wa chuo leo hii hawana thaman..wimbi kuubwa la waalimu wa michepuo ya sanaa hawapew ajira na hata zkitangazwa sijui wanapewa akina nani
Ndugu zangu am not happy cuz ama victim of this chain..
Mpaka Leo vijana wengi wako mitaani na degree zao ,hakuna ajira waalimu hawapandishwi madaraja,

Kyumamako we umelima maniokolandKwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Swala hili watatuzi Ni sisi binafsi. Tumejaliwa ubinafsi uliotukuka na uogakatika kufanya maamuzi. Mtu binafsi anaweza kuwa na mawazo chanya ya project mbalimbali lakini ni mgumu kushare na mwenzake.Mpaka Leo vijana wengi wako mitaani na degree zao ,hakuna ajira waalimu hawapandishwi madaraja,
Vijana wa kitanzania leo hii wanaenda jkt kufundishwa ukakamavu..s kwel watu wanaenda kutafuta ajira bt wanakalishwa miaka halafu leo hii wanarudishwa mitaan je wafanye nini huku au mnataka watukabe
Wahitimu wa chuo leo hii hawana thaman..wimbi kuubwa la waalimu wa michepuo ya sanaa hawapew ajira na hata zkitangazwa sijui wanapewa akina nani
Ndugu zangu am not happy cuz ama victim of this chain..
Linaongea liko kwenye ajira bosi katoka ndo limeshika simu. Jitu kama hili likifutwa kazi utalionea huruma bora hata wale waliozoea kitaa bila ajira.Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Well said mentality hii wengu watapinga lakin ndo uhalisia uliokoKwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.