Siku hizi Kuna Teknolojia nzuri ya kutafsiri/kalimani lugha ya Kiingereza kwenda kiswahili. Hivyo, Hiki si kigezo. Kigezo JM ni mzoefu na masuala haya!
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!

Mtu sahihi aliyetakiwa kuhudhuria mkutano huo ni makamu wa raisi au waziri mwenye dhamana ya muungano na mazingira ambaye ni Seleman Jaffo...................hapa kuna uthibitisho usiotia shaka kwamba mkuu wa nchi ana watu wake anaowaamini kupita fikra za kawaida za watu wengine hivyo kuhaulisha uhusika wake kwenda kwa mtu ambaye kwa vyovyote vile anavyotaka ndiye atamtuma

hapo sijakupata? yani unauliza kama huyo wa Msoga, ndio "Mlezi" wa taifa?
hua ninamuita "Mama" mlezi wa taifa kwa sababu hajapita na kura, bali katiba na kufuata kifo cha raisi aliyekuwa madarakani. kiongozi yeyote anayerithi kiti cha mkubwa wake ambeye katangulia mbele ya haki ni "Mlezi" sio chaguo na sijawahi kuona chaguo la wananchi likidumu.
Unajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu, anakuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.