Kwanini Adam.......?

Hawa asigejua kuwa yupo uchi kwasababu alikuwa ni nusu mtu siyo mwili kamili na kama adam asigekula tunda lile wasigejua mema na mabaya
Huu ni mtazamo wang tu
 
Hawa asigejua kuwa yupo uchi kwasababu alikuwa ni nusu mtu siyo mwili kamili na kama adam asigekula tunda lile wasigejua mema na mabaya
Huu ni mtazamo wang tu
Asante...
Mungu alisema mkila tunda mtakufa, je... Hawa angeendelea kuishi na yeye?
 
Wewe mzaburi hilo swali inafaa tukuulize wewe
Mkuu... hata mimi sio kwamba najua kila kitu, na sio kwamba sijui may be nikajua zaidi kupitia mawazo ya wengine pia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…