Kwanin DSTV wasiwe na kifurushi cha siku au week?

Kwanin DSTV wasiwe na kifurushi cha siku au week?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,631
Unalipia kifurushi cha mwezi na unajikuta unasafiri almost mwezi mzima. Au upo lakini upo busy unakosa muda wa kushinda na kuangalia hivyo vipindi.

Sahivi nahitaji kuangalia mpira ila sijalipia, nawaza kwanini wasingekuwa na kifurushi cha 24hrs? Wangepata wateja wengi sana.
 
Back
Top Bottom