''Kwani yeye ni robot?'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

''Kwani yeye ni robot?''

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gepema, Nov 23, 2011.

 1. g

  gepema Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau hebu someni haya maneno kutoka kwenye makala ya msomaji raia ndio mtapata jibu kwamba hata wenzie wanamchukiliaje presidaa wetu!!
  Kutokana na hotuba hiyo ya Kikwete nilimsikia Rais mstaafu Mkapa akicheka kicheko cha kejeli na kusema ''nadhani hajaelewa maana ya Presidency'', kisha akaongeza, ''ukiwa Rais unarithi yote; hakuna nafasi ya kulaumu wengine.''

  Baada ya michango ya wenzake pale mezani, Rais Mkapa alihoji ''Kwani yeye ni robot?'' Nadhani alilenga kusema Rais ana mamlaka na utashi katika kutekeleza majukumu yake na kwa hiyo anapaswa atumie akili pia, siyo kutekeleza kama mashine.

  Kazi tunayo Watanzania mpka 2015!!!
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Source plse!!
   
Loading...