Aisee, hata sijui niseme nini
hahaha kweli huyo ndio mwanaume wa kweli!!! inabidi na mie nianze kuitumia hiyo mbinu.....
Nimempenda huyo jamaa ningekuwa karibu ningemwongeza beer
soo rude!!!!!!
Mshenzi wa tabia tuu huyo jamaa,anamuonyesha nani? basi watu kama hao ukiwavulia nguo wanakua kama kuku hana lolote.
Nimempenda huyo jamaa ningekuwa karibu ningemwongeza beer
Nimempenda huyo jamaa ningekuwa karibu ningemwongeza beer
Uliwahi Mkuu? Vijimambo vya mjini hapa hivyo...mjini kuna majini!Mshenzi wa tabia tuu huyo jamaa,anamuonyesha nani? basi watu kama hao ukiwavulia nguo wanakua kama kuku hana lolote.
ndo tatizo la kuchuna watu wenye hela za mawazo, bia tu ndo unashaut bar nzima!!!manina ingekuwa kahonga gari je?
umuongezee bia ili? Weweeeeeeeee! Ole wako!