Kwani utakula kiuno all your life, au utajenga familia

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Yaani unakaa na mtoto wa wamtu miaka 5 ya uchumba, ushamfunua-funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa

Mtoto wa watu amekunja nne ametulia anajuandoa inafuata soon halafu wewevghafla tu unakuja kumzingua nakutangaza ndoa na mtu mwingine.

Akikuuliza sababu ya kumuachayeye mataa unasema siwezi kuoa mwanamke hajui kukatika kitandani nataka kuoa fundi wa kumilikikitanda,

Ulimfundisha? Kwaniunaoa mtu wa kujenga Familia auunaoa mke wa kwenda kufunguabendi ya kukata viuno?

Maanakama nia yako ni kupata mkeanayekatika basi ungeenda kuoaWanenguaji kwenye bendi yaAkudo Impact.

Mnaumiza watoto wa watukibwegebwegeee...na sababu zakikuku-kuku, Kwani utakula kiunoall ur life?

Au utajenga familia.
 
Hahahaaaa,,eti unaujua mwili wake kama unavyoujua beti za wimbo wa taifa!!Well said mkuu,,safi sana,makavu live
 
kwani hao nao walikuwa na ulazima gani wa kukubali kufunuliwa funuliwa hovyo?
miaka mitano mtu anaishi na mwanaume hajamuoa? kwanza kwa mujibu wa sheria huyo ni mume kabisa na anavyoniacha inabidi tugawane hasara.
vitu vingine ni sisi wanawake tunajisababishia wenyewe
 
Hahah mbavu zangu! Tumekusoma bro nahisi imefika wakati wanaume tubadilike, mtu anapokuheshimu nawe jaribu kuwa mstaarabu coz hakunaga tuzo za wakatika viuno kitandan..
 
familia haijengwi kwa kunywa jusi, kamani juisi mbona kwao/kwake ipo nyingi? familia ni matokeo ya mahusiano mema kitandani, kinachomkutanisha mwanamume na mwanamke ni kitanda na pesa, you cant deny that! hata wewe mwanamume una wajibu wa kuhakikisha mwanamke anaridhika, kama ukigusa upaja tu ushamchafua ujue nyumba haitadumu!
 
Hilo nalo ni kosa kwa sisi wanawake....utajiwekaje kwa mwanaume kwa miaka 5 bila ya kujua msimamo wa kukuoa???
Tana na wengine watoto 2 juu kisha unaachwa anaenda kuolewa binti kigori
Wake up ladies!!!
 
Both side cos kuna wanaume now wanalalamika wanawake wamewatumia had mic imekuwa na sugu utasikia halo halo natest mic...Mara pitia D2 .....pesa wamehonga ....wamezomesha....ada wamelipia...wamewajengea nyumba at the end wanapigwa chin unaambiwa wewe una kibamia or huna pesa

Tubadili tabia both sides.
 
familia haijengwi kwa kunywa jusi, kamani juisi mbona kwao/kwake ipo nyingi? familia ni matokeo ya mahusiano mema kitandani, kinachomkutanisha mwanamume na mwanamke ni kitanda na pesa, you cant deny that! hata wewe mwanamume una wajibu wa kuhakikisha mwanamke anaridhika, kama ukigusa upaja tu ushamchafua ujue nyumba haitadumu!

mmmh una discuss thread gani kwani???
 
Hilo nalo ni kosa kwa sisi wanawake....utajiwekaje kwa mwanaume kwa miaka 5 bila ya kujua msimamo wa kukuoa???
Tana na wengine watoto 2 juu kisha unaachwa anaenda kuolewa binti kigori
Wake up ladies!!!
Rapunzel na tabia yenu ya kung'ang'ania kuishi na wanaume bila ndoa "Eti"kisa anamali mkome
Tafuteni kwanza ndoa maisha ndio yaanzie hapo ndio maana mnapigwa chini kwa vigezo vya kijingajinga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom