Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 Jun 10, 2017 #2 Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka... Clouds Bwana...
Amrish Puri JF-Expert Member Dec 11, 2016 274 379 Jun 10, 2017 #3 taaluma ya uandishi haijawahi kumuacha mtu salama
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,063 6,405 Jun 10, 2017 #4 Duh! Sisteri kapaishwa kuliko kupaishwa kwenyewe...
nyumbatatu JF-Expert Member Jul 19, 2013 1,076 939 Jun 10, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka... Clouds Bwana... Click to expand... Kwa hiyo wamemfungulia da Ashura dunia kawa IGP!
Joseverest said: Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka... Clouds Bwana... Click to expand... Kwa hiyo wamemfungulia da Ashura dunia kawa IGP!
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 Jun 10, 2017 #6 nyumbatatu said: Kwa hiyo wamemfungulia da Ashura dunia kawa IGP! Click to expand... ndicho walichomaanisha huenda
nyumbatatu said: Kwa hiyo wamemfungulia da Ashura dunia kawa IGP! Click to expand... ndicho walichomaanisha huenda
Thubo JF-Expert Member May 23, 2017 207 240 Jun 10, 2017 #7 Pale kick inapokutafuta yenyewe!!! lazime Dunia ikufungukie na uchague u IGP
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,099 18,048 Jun 11, 2017 #8 Bado wana bifu na rafiki yake Bashite. Huo ni mgomo wa kimya kimya kutokubaliana na uteuzi wake