Kuna mambo unaweza kuyatafakali ukajikuta unamkufuru bull mungu wako. Hivi taifa la watu milioni 55 akuna kitu chocolate tunaweza kukifanya kwa wakika wa 100% kweli?
Sio siasa, Michezo,elimu, mapenzi,uchumi yani kote uko sisi ni watu wakuunga unga? Something might be wrong somewhere? I swear to God sio bule kuna tatizo paala nakama atutajitizama vizuri kuna mengine makubwa yanakuja kama Nchi.
Nimalizie kwa kusema kipigo cha jana zidi ya kenya nimeshindwa njinsi ya kukipokea kama kuna mutu ana kapesa kidogo mfukoni anitumie niendelee kupiga k-vant maana kichwa changu kimeshindwa kupokea matokeo.