Hatukwa naye huko polisi, unaonaje ukimuuliza yeye mwenyewe?Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?
Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?
Kwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.Kwani wewe ulitaka aongee nini tena zaidi ya kumuanika Kinana na ujangili wake ?
Hapana, tulikubaliana tofali 200 na mbao 50,
Fanya fasta tumalizie hiyo kazi! Kesho ataruhusiwa!
Ukifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.mkuu naona "orifice" inawasha eh??
Jangiri la kimataifa lilokubuhu na kumaliza tembo wa Tanzania kwa vizazi vijavyo na sasa liliota mapembe hoyeeeeKwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.
Kwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.
unasubiriwa kwenye handaki la pembe za ndovu wahi kabla ya soko kwishaUkifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.
Ukifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.