Kwani pale Magogoni pana nini

Nyumba ikijengwa juu ya nyumba ya mtu mwingine lazima pasikalike,

Kaburi ni nyumba ya wafu, iweje juu wajengw nyumba takatifu na WA take kukaa humo?

Ni shart nyumba ya wafu iondolewe ndipo wakae walio hai.

NB: Ukiona mtu anarudi kwao kwa kuhamia na mizigo yake na familia nzima, jua tayari.
 
Usiite mali mbovu kwa sababu tu ya muonekano wake wa nje. Unaweza ukaingia ndani ukakutana na mnato wa ajabu na manjonjo hatarishi uwanjani, kiasi cha kujikuta umeikimbia mali yako nzuri nyumbani.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† uzuri wa nje.
 
 
Ngoja kwanza nichekeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
fafanua kidogo mkuu kuna habari njema au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…