Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Historia ya babu zetu inasema mwanaume alietairiwa huwa anapendwa sana ni kweli me sijui but me ni nimewaona jamaa zangu wa eneo fulani huwa wanapendwa sana ingawa hawajatahiriwa na wanapendwa? Sasa je kutahiriwa ni lazima au ndo mila tuuuu.