Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Umbembeleze kwani kakojoa kitandani??[emoji15]


[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wanawake ndiyo asili yao. Anataka maneno mazuri na hata kama anajua unamdanganya atafurahi tu.

Pili, wengi hupenda uwapate kwa ugumu ili baadae usijewaona warahisi mkishakuwa kwenye mahusiano. Ndiyo maana hata ukibembeleza ataanza kukataa ili usijemuona mwepesi hata kama kweli anapenda.
 
Kwanza rudi shule ya TAPA hapo Shy,ujifunze jinsi ya kuandika kiswahili fasaha na siyo utumbo na mavi ya mbuzi au vipi?,pia kumbuka una sura mbaya na tabia mbaya ndio sababu umesema unanunua makahaba na kupiga nyeto,mwanaume mzima kusema unapiga nyeto hadharani ni utovu wa adabu kefule weye mwenye govi,potea usirudi tena jukwaani kenge bluu wewe.
Kiswahili ngani fasaha unachokitaka zaidi ya hicho nilichokiandika.

Unaonekana wazi kabsa hujalelewa na wazazi that why kinywa chako kimejaa maneno ya kejeli na matusi ambayo hayakusaidii. Chochote ndani ya maisha yako.
 
Hata jogoo mwenyewe anabembeleza tetea kwa kumtafutia chakula.Hii ni nature mkuu,bila hivo hawa viumbe utawasikia tu kwenye media labda hao wa kununua .
 
Tatizo lako ni kubembeleza mwanamke ili muingie kwa mahusiano au kumbembeleza yule ambaye mna mahusiano tayari...

Kama yule ambaye ndyo unataka kuingia kwa mahusiano naye si lazima umbembeleze!!!Andaa mazingira...Then mtokee ukiona ana interest na wewe!!!
NB...Kuna raha kubembelezwa
 
Mapenzi gani hayo sasa yasiyo na kubembelezana!!!
Basi tumia pesa, ziliwe zikiisha uachwe.
 
Hata uwe unamiliki raw materials za kutengeneza hela, ukija na maneno yako ya ajabu hutanivutia.

Kwa maana nyingine unanionesha wazwaz kwamba humo ndani utakua dictator na hutathamini hisia zangu hata kidogo. Jifunze lugha nzuri kwa mtu unayempenda.

Anayesema ndivyo wanawake tulivyo, mfano wewe una wapenzi wawili, wote wanataka hela wana shida sana.
A: nipe hela Baraka nina shida nayo
B: Samahani mpenzi wangu, naomba unisaidie pesa kidogo nimepata shida.

Kati ya hawa, utampa nani au nani atakushawishi kumpatia? Lugha haijali KE au ME, lugha hujenga na kubomoa. Kama unadhani utapata mke kwa style hizo, poleeeeeeeeeeeeeeeeeee. Nyama ya ulimi lazima ihusike.
yani B nampa fasta na hata zaidi na siku nyingine namuuliza kabla hajaniomba
 
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.

Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa.

Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa kweli katika ulimi na kinywa changu sina kabisa maneno ya kubebeleza mtu.

Maswala sasa yanakuwa magumu sana kwani hahitaji mke wa kuoa ili na mimi ni maisha yawe kama wengine na kuwa na mwanamke anayenipenda kwa hiyari yake.

Kila mwanamke ninayemfata nikajaribu kumweleza kumuoa analeta mapozi na kukataa hali ambayo inayonifanya kukataa tamaa. Na nafsi yangu huniambia huwezi kukaa ukimubebeleza mtu.

Wanawake ambao mpo humu JF naomba mnieleweshe, kwani ni lazima mbebelezwe na mpewe maneno matamu ambayo mengi ya maneno hayo ni uongo?
Tupo wengi
 
Hata bibi yangu alinambia mwanamke anahitaji kubeembelezwa kupetipeti matunzo pia ukienda lafu utampoteza, kuna msanii aliimba hivo
 
Back
Top Bottom