Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Yaweza kuwa kauli zako sio nzuri unapo tongoza, au unasura mbaya isiyovutia labda na mdomo unanuka . Basi endelelea tu na maombi utampata mwenza. Unaendana kitabia
 
Hubembelezi Mkuu bali unaonyesha nia yako ya kuwa na mhusika katika maisha yako, kama wewe unamkubali kwamba ana sifa za kuwa mkeo na yeye hali kadhalika anakukubali kwamba una sifa za kustahili kuwa mumewe basi mnafunga pingu za milele kama wote mnakubaliana.

Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.

Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa.

Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa kweli katika ulimi na kinywa changu sina kabisa maneno ya kubebeleza mtu.

Maswala sasa yanakuwa magumu sana kwani hahitaji mke wa kuoa ili na mimi ni maisha yawe kama wengine na kuwa na mwanamke anayenipenda kwa hiyari yake.

Kila mwanamke ninayemfata nikajaribu kumweleza kumuoa analeta mapozi na kukataa hali ambayo inayonifanya kukataa tamaa. Na nafsi yangu huniambia huwezi kukaa ukimubebeleza mtu.

Wanawake ambao mpo humu JF naomba mnieleweshe, kwani ni lazima mbebelezwe na mpewe maneno matamu ambayo mengi ya maneno hayo ni uongo?
 
Mm nakuelewa Kuna watu wameumbwa hivo. Mm nilishakuwa na mtu kama askari Kwakweli nilipata tabu sana ila nilipomzoea nikaona ndio asili yake. Na nikamchukulia kawaida nkamuelewa. Uskae ukasema atakuita baby mara ooo honey hawez utasema utambadilisha ila hawez. Huwez kudeka Yani nilipokuja kumuelewa nilifurahi maana skuwa nalalamika tena. Naamini tungefika mbali hata yeye anajua Hilo ila dini ikawa kikwazo cha sisi kuendelea. Tukakubaliana kutokukubaliana. So kama Ni asili yako huwez itoa ila kama umeiga Au umeipata kutakana na sababu Ni mbaya maana utakuwa unakomoa. Unaweza kuta mtu anakauli za kibabe ila anahuruma zaid ya mwenye kauli za kimahaba. Nilishaumwa nikaona huruma yake japo ilikuwa kazana kula wewe sio hata baby kula.
 
Mimi ilishanikosti hyo ya kutobembeleza mwanamke.
Napenda mtu kama wewe aliejifunza in a hard way, ikikukosti ndio utajua kubembeleza kuna maana au hakuna maana.
Halafu mwanamke yule mstaarabu hata usipo kuwa na hela maneno yako mazuri tu ya kumjali yanaweza mvuta hemani mwako.
 
usipombembeleza mwanamke utambembeleza nani?
 
Dah....hawana formula hao...kuna wanaopenda kubembelezwa na wengine wanapenda kijeshijeshi..
 
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.

Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa.

Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa kweli katika ulimi na kinywa changu sina kabisa maneno ya kubebeleza mtu.

Maswala sasa yanakuwa magumu sana kwani hahitaji mke wa kuoa ili na mimi ni maisha yawe kama wengine na kuwa na mwanamke anayenipenda kwa hiyari yake.

Kila mwanamke ninayemfata nikajaribu kumweleza kumuoa analeta mapozi na kukataa hali ambayo inayonifanya kukataa tamaa. Na nafsi yangu huniambia huwezi kukaa ukimubebeleza mtu.

Wanawake ambao mpo humu JF naomba mnieleweshe, kwani ni lazima mbebelezwe na mpewe maneno matamu ambayo mengi ya maneno hayo ni uongo?
wanawake hawahitaji kubembelezwa!
mahusiano yanahitaji mtu anayeonesha kujali, kubembeleza ni just part ya kuonesha kujali! hata wanaume tunapenda kubembelezwa we don't seem to demand for it kwa kuwa wanawake automatically wanatumia lugha za kubembeleza kwa wapenzi wao! mf. baby uje na chips/dear umeme umeisha/bae please usisahau kuzima taa/ mpenzi chakula tayari... with that tone ya mahaba........wengi tuliobahatika tunaelewa!
kwangu naona una kiburi Zaidi, often una mingle na watu ambao labda wapo chini yako na wewe unahisi umejitosheleza ndio maana unahisi people have to bow kufuata your principles! ukiwa ume-over speed au umefanya kosa lolote, anayekushikilia ama anataka kukushtaki au anakuadhibu lazima utambembeleza either akufutie adhabu au akupunguzie, hapo power difference itakuforce u-bow down na u bend your principles! kama unajiamini then go mtongoze someone above your bar ktk social, academic and economic status utaona kama utabembeleza au utajisemea tu nataka nikut..mbe! kuna lugha za changudoa na lugha za wanawake wanaojiheshimu!
ila bottom line!
acha kiburi, kuwa na utu!
sio wanawake tu kila mtu anapaswa kuheshimiwa na kuoneshwa kuwa unamjali......!
na kubwa Zaidi wanawake hawahitaji kubembelezwa, wanataka kuoneshwa upendo, so jifunze upendo kwa binadamu wenzio you wont struggle na hicho kitu kidogo kama kubembeleza ambacho ni kama tone la maji ktk bahari ya upendo!
 
Waonyeshe hela watakufata hao km vile kuku wa kuchinjwa anavyo rushiwa mchele kuelekea bandani.
akili za kivulana!
usichojua kuwa wanawake nao wapo wanaowinda! wapo vibaka wa mapenzi na watahitaji pesa tu, ila kama hivyo ndivyo jamaa yako si ananunua papuchi mbona anaona haimtoshi!
love is something unconditional, ukifikiri you can buy love jua unashida!
unaweza kununua sex, na unaweza kuishi na sex toy lako milele ila yeye akaenda kutafuta au kuendeleza penzi lake kwa gharama zako!
kama huyu ngosha anashida ya love, then anapaswa abadili mitazamo yake ya kisukuma, ila kama anataka ku-do tu aendelee na utaratibu wake wa sasa wa kununua ni salama Zaidi kuliko kuishi na mwanamke ambaye mnashindana hisia watakuua hawa viumbe! ni hatari sana wakichange!
 
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.

Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa.

Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa kweli katika ulimi na kinywa changu sina kabisa maneno ya kubebeleza mtu.

Maswala sasa yanakuwa magumu sana kwani hahitaji mke wa kuoa ili na mimi ni maisha yawe kama wengine na kuwa na mwanamke anayenipenda kwa hiyari yake.

Kila mwanamke ninayemfata nikajaribu kumweleza kumuoa analeta mapozi na kukataa hali ambayo inayonifanya kukataa tamaa. Na nafsi yangu huniambia huwezi kukaa ukimubebeleza mtu.

Wanawake ambao mpo humu JF naomba mnieleweshe, kwani ni lazima mbebelezwe na mpewe maneno matamu ambayo mengi ya maneno hayo ni uongo?
Kwanza rudi shule ya TAPA hapo Shy,ujifunze jinsi ya kuandika kiswahili fasaha na siyo utumbo na mavi ya mbuzi au vipi?,pia kumbuka una sura mbaya na tabia mbaya ndio sababu umesema unanunua makahaba na kupiga nyeto,mwanaume mzima kusema unapiga nyeto hadharani ni utovu wa adabu kefule weye mwenye govi,potea usirudi tena jukwaani kenge bluu wewe.
 
Tatizo huyu ngosha sijui ni ushamba unamsumbua
Wewe mrembo umegundua kitu muhimu sana,USHAMBA ni mzigo,lijitu lina govi halafu halina muonekano wala mvuto au mauzo eti linataka wanawake walipende?daah hivi hata basic things za mwanaume kuwa na mvuto hazijui?limekalia kuchunga mifugo na kula michembe bila kujijua halafu linakuja humu kuhara au sijui linafikiria tuko Ntuzu marabuku.
 
Tatizo huyu ngosha sijui ni ushamba unamsumbua
Mamii vipi?naona sasa hivi umeanza kunimind au vipi?,nikutoe out for dinner tukapate chicken teriyaki au tepanyaki na sushi pale Japanese restaurant au vipi?bila kusahau Asahi beers na Singha beers kwa ajili ya ashki zetu za asili au vipi?ili tufurahie mother nature au?naamini utajisikia kiumbe mpya alietunukiwa bahati zoote duniani habiby wangu au unaonaje?
 
Tatizo huyu ngosha sijui ni ushamba unamsumbua
Nasubiri jibu lako baby,kwani jibu lako ni dhahabu kwangu wewe mtoto maruhubi wa majaza na mahabba bin mahabubaaa ya siti binti laylati el murradi ya hafidh bina maruwaaan ya habiby asmaraani ya ashk kul madhluuum ya Vale muhibbu.
 
Tatizo huyu ngosha sijui ni ushamba unamsumbua
Basi nawe mrembo ukiona mimi nashoboka usizidishe nyodo bhana au vipi?kwani kuku mwenzie kisu kikali hiki ninacho mkononi lazima uchinjwe ili ufurahie haki yako ya kijinsia bila kupunjwa au vipi?yaani lazima nikufikishe kule kileleni kwa raha zako au vipi?si unajua mambo na utofauti wa kijinsia ni kubadilishana jinsia zikipokezana kupeana haki zao huku sisi tukisikilizia maraha mithili ya kutafuna tindi za mua ambazo ladha yazo ni sisi watafunaji ndio twazisikia au vipi mrembo?
 
Back
Top Bottom