Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Kwani ni lazima kumbebeleza mwanamke?

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.

Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa.

Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa kweli katika ulimi na kinywa changu sina kabisa maneno ya kubebeleza mtu.

Maswala sasa yanakuwa magumu sana kwani hahitaji mke wa kuoa ili na mimi ni maisha yawe kama wengine na kuwa na mwanamke anayenipenda kwa hiyari yake.

Kila mwanamke ninayemfata nikajaribu kumweleza kumuoa analeta mapozi na kukataa hali ambayo inayonifanya kukataa tamaa. Na nafsi yangu huniambia huwezi kukaa ukimubebeleza mtu.

Wanawake ambao mpo humu JF naomba mnieleweshe, kwani ni lazima mbebelezwe na mpewe maneno matamu ambayo mengi ya maneno hayo ni uongo?
 
Waonyeshe hela watakufata hao km vile kuku wa kuchinjwa anavyo rushiwa mchele kuelekea bandani.
 
Hata uwe unamiliki raw materials za kutengeneza hela, ukija na maneno yako ya ajabu hutanivutia.

Kwa maana nyingine unanionesha wazwaz kwamba humo ndani utakua dictator na hutathamini hisia zangu hata kidogo. Jifunze lugha nzuri kwa mtu unayempenda.

Anayesema ndivyo wanawake tulivyo, mfano wewe una wapenzi wawili, wote wanataka hela wana shida sana.
A: nipe hela Baraka nina shida nayo
B: Samahani mpenzi wangu, naomba unisaidie pesa kidogo nimepata shida.

Kati ya hawa, utampa nani au nani atakushawishi kumpatia? Lugha haijali KE au ME, lugha hujenga na kubomoa. Kama unadhani utapata mke kwa style hizo, poleeeeeeeeeeeeeeeeeee. Nyama ya ulimi lazima ihusike.
 
Mkuu mchezo huu hauitaj hasira xbsa unaeza panic sna lzma uwe smart sna hsa kwenye kuwatafuta hawa wenzetu kupeti ni muhim cz chuma bila kukwekea lubricants ktkushinda
 
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri.

Lakini aina hiyo ya maisha sikuwahi kabisa kumshawishi mwanamke tukaingia naye mahusiano. Nilijaribu kuwashawishi lakini walikataa wengine waliniahidi ahadi hewa. Hali hiyo haikunishutua kabisa, wasichana walionindaganya na kunikataa niliwapuuza na kuwaona ni wajinga tu. Kwani mimi nilijiona ni mume mzuri wenye kila sifa.

Na zaidi ya yote nilipohisi hali ya kufanya mapenzi nilienda kununua makahaba na kupiga masturbation. Kwa kweli katika ulimi na kinywa changu sina kabisa maneno ya kubebeleza mtu.

Maswala sasa yanakuwa magumu sana kwani hahitaji mke wa kuoa ili na mimi ni maisha yawe kama wengine na kuwa na mwanamke anayenipenda kwa hiyari yake.

Kila mwanamke ninayemfata nikajaribu kumweleza kumuoa analeta mapozi na kukataa hali ambayo inayonifanya kukataa tamaa. Na nafsi yangu huniambia huwezi kukaa ukimubebeleza mtu.

Wanawake ambao mpo humu JF naomba mnieleweshe, kwani ni lazima mbebelezwe na mpewe maneno matamu ambayo mengi ya maneno hayo ni uongo?

Kama una hela za kuunga unga utapata shida hapa mjini kupata demu wa kiukweli kwani kila demu anataka kuolewa na kibaka anayeiba hela serikalini ili atunzwe yeye na ukoo wake.
 
Wanawake hawakuubwa kupata shida,shida na matatizo yaliyopo leo yametokea tu kutokana na mazingira ndo mana wanakuwa wepes kudanganyika kama ukiwaahid maisha mazuri
 
Mm nilidhani hua unabaka kumbe una uwezo wa kununua kahaba, .!!...1 - interaction yako na watu ina nipa waswasi-2
Kama unadhani kufanya kazi kwa bidii unaleta mafanikio katika maisha .,,,then badilisha perception yako against women waone kama maua mazuri utapata mke.3...soma vitabu sana especially novels hususan parts za mapenzi itakusaidia movies soap opera, utajuta kutojua hayo mapema niulize!
 
Mke sio sawa n kahaba.... Mke sio sawa na mastabotion

Mke anahadhi ya kipekee kabisa. Lazima inapobidi abembelezwe na vile vile kukaripiwa.
Kuna wakat lazima ubembeleze.
Kuwa akili. Acha uvulana...mkuu
 
Hakuna asiyependa kubembelezwa bwana, kubembelezwa raha.Si wanawake wala si wanaume wote wanatakiwa wajifunze kuwa na kauli ya kubembeleza.

Mapenzi ni mjumuiko wa vitu vitatu ambavyo ni pesa, maneno matamu pamoja na vitendo. na ukimpata mwenye vyote hivyo hakika utajihisi uko peponi na mara zote kumpata mwenye vyote ni ngumu.
unampata mwenye pesa lakini dikteta, unampata anayejua kubembeleza na kujali hisia zako lakini hana pesa.unampata anayeijua shughuli lkn anakosa pesa na kauli tamu.

Mara nyingi tunavumilia au tunaenda kutafuta tunachokosa kwingine kwani ni ngumu kuvikuta vyote kwa mmoja labda umuumbe mwenyewe.
 
Mimi naona wanawake wanapenda kubembelezwa na kupewa vijisenti hatakama wanadanganywa ndipo hukolea zaidi. Kwa mfano; ukimwambia umependeza mrembo atakujibu asanteee wakati anajua hajapendeza hata kidogo au ukimwambia oooh atakayekuoa wewe atapata dhahabu safi atakujibu jamani asantee saaana wakati anajua yeye ni Scrapper aliyejichokea siku nyingi tu. JIFUNZE KUBEMBELEZA UPATE MKE WA KUOA.
 
muuuTnigependavkutokumbebeleza846, mAmbayea
47"]Hata mawazoamilikyenye hakimaakubwa kutbusaraza hela, ukija na mankutokako ya ajhasihutanichanya

Kwa maana nyingine unanionesha wazwaz kwamba humo ndani utakua dictator na hutathamini hisia zangu hata kidogo. Jifunze lugha nzuri kwa mtu unayempenda.

Anayesema ndivyo wanawake tulivyo, mfano wewe una wapenzi wawili, wote wanataka hela wana shida sana.
A: nipe hela Baraka nina shida nayo
B: Samahani mpenzi wangu, naomba unisaidie pesa kidogo nimepata shida.

Kati ya hawa, utampa nani au nani atakushawishi kumpatia? Lugha haijali KE au ME, lugha hujenga na kubomoa. Kama unadhani utapata mke kwa style hizo, poleeeeeeeeeeeeeeeeeee. Nyama ya ulimi lazima ihusike.[/QUOTE]
Mkuu nigependa kutoa shukurani zangu za dhati kabsa kwa mawazo yako yenye hakima kubwa na busara wa kubandilisha mtu kutoka sehemu hasi hadi chanya.

Mkuu swala ngumu kabsa kwangu ni kumbebeleza mtu
Ambaye mim
 
Hakuna asiyependa kubembelezwa bwana, kubembelezwa raha.Si wanawake wala si wanaume wote wanatakiwa wajifunze kuwa na kauli ya kubembeleza.

Mapenzi ni mjumuiko wa vitu vitatu ambavyo ni pesa, maneno matamu pamoja na vitendo. na ukimpata mwenye vyote hivyo hakika utajihisi uko peponi na mara zote kumpata mwenye vyote ni ngumu.
unampata mwenye pesa lakini dikteta, unampata anayejua kubembeleza na kujali hisia zako lakini hana pesa.unampata anayeijua shughuli lkn anakosa pesa na kauli tamu.

Mara nyingi tunavumilia au tunaenda kutafuta tunachokosa kwingine kwani ni ngumu kuvikuta vyote kwa mmoja labda umuumbe mwenyewe.
Tatizo huyu ngosha sijui ni ushamba unamsumbua
 
Back
Top Bottom