Kwani mkeo akipendeza kuna shida gani?

sio kama hawapendi wake zao wapendeze! ni ubahili tu wa kuwanunulia pamba za nguvu. wanaishia kutamani wake wa wenzao na kusingizia eti mke wa mtu anapaswa kujiheshim. mnunulie mkeo pamba za ukweli zenye heshima!
 
Happiness win hilo nalo nenooo!!cjui mefunzwa na nani kutopendezesha wake zao lol ila wengi wao kama ilivyosemwa ni kutojiamini kunawasumbua
 
Dark city ..kweli naomba Mungu atuongezee chumvi ila Kongosho kasema ye anajionea wenzake 40's wananuna atiii..au tuwakusanye uwape semina nini? ila nikifikia meno yanatoka bila ganzi wala nini kweli ina raha yake ,hongera kama we umefikia hizo namba za miaka lol

Karibu sana Lolys,

Tutaendelea kuvutana vutana taratibu.....Kwa hiyo mweleze Kongosho (ambaye naamini ni mzeofu kiasi chake) ajipe moyo na kutoa nafasi ili ajifunze mengi zaidi as time goes by!!!

Haya mambo ni megumu na hayana kanuni. Ila uzoefu una mchango mkubwa katika kuweka mambo sawa ...Ila suala moja muhimu ni kwamba bado mwanamume ataendelea kuhisi anaweza kuibiwa hata kama mke keshafikia >60yrs. Na pia wote wataendelea kutamani vya wenzao hata kama hawatachukua hatua..LOL.

Hizi facts zinasaidia kupunguza ghubu!!

Babu DC (1947)!!
 
Dark City mi huwa natamani kuwaona babu vs bibi wakioneana wivu na uzee wao halafu wajukuu ndio wanaamulia ..inaraha yake kiukweli ingawa unaweza kuta bibi anamind kwelikweli ila its funny natamani Mungu aongeze chumvi na mm nipitie hyo halafu hapo sasa ukute na kilugha kinapanda halafu niko kijijini haa haaa
 
Mungu hana wivu,

Sala zao zitakuwa zimefikia jikoni!!

Ishallah ...tuombe heri!!
 
sio kama hawapendi wake zao wapendeze! ni ubahili tu wa kuwanunulia pamba za nguvu. wanaishia kutamani wake wa wenzao na kusingizia eti mke wa mtu anapaswa kujiheshim. mnunulie mkeo pamba za ukweli zenye heshima!

ukweli mtupu. Kuna wanaume wakishaoa wanawaambia wake zao wakate nywele. Yote hiyo kukwepa gharama za kumuhudumia bibie. Wanawake nao wajitahidi kujipendezesha sio kusubiri kupendezeshwa.
 
1. Mke lazima ang'ae banaaa......kwangu hilo ni lazima as akiwa gud luking inakujengea heshima sana wewe mume tena ikibidi gongesha pamba zaid ya ulivyomkuta (enzi za uchumba)

2. Kama nguo unanunua wewe then zikivaliwa ndo unune???? How come...!!!!!!
3. Kama kweli huzimiki wyfe kupendeza then..... this particular guy angenuna siku ya ndoa pale anaporembwa (kupendezeshwa)
Swali kwa mleta thread
Yeye huyo anayenuna upande wa Kupendeza ana-concepualize vipi? Msije kuwa two opposing poles na ukawa unamlaumu bure ilhali alfajiri kwake baadooooo kabisaaaaaal
 
Olesaidimu nafikiri unaelewa kuwa sio lazima kila kitu uletewe na mume ikiwa wote mnajishughulisha nikimaanisha mm naweza mnunulia pamba naye pia anafanya hivo..swala ni anataka kila ukipendeza utoke naye na kama ni safari ya peke yako ndio tabu lol..hop hapo umeelewa
 
BAK ..the whole song i happen to like these..
I
could put my arms around every boy I see
But they'd only remind me of you
I went to the doctor n'guess what he told me
Guess what he told me
He said girl u better try to have fun
No matter what you'll do
But he's a fool

I know that living with you baby was sometimes hard
But I'm willing to give it another try

Its a nice song

Back
Top Bottom