Jamani kwani mimba ni sababu ya kuolewa haraharaka hata kama hampendani kwa sana,mana kuna mimba za bahati mbaya kwa wale wasioelewa miili yao inafanyaje kazi. mana kuna mtu kapachikwa mimba sasa anamlazimisha boyfriend wafunge ndoa haraka eti kukwepa aibu,mnalionaje hili watu wangu