Mnalishwa matango pori kuwa watu weusi walikuwa wana vaa ngozi na magome ya miti ili mji dharau na kujiona watu duni "Minikajua labda nikuvaa magome ya miti Na kuvaa mashuka ...yani sijui tamaduni zetu ni nini naomba kufahamishwa
Mnalishwa matango pori kuwa watu weusi walikuwa wana vaa ngozi na magome ya miti ili mji dharau na kujiona watu duni "
Ajabu iliyo kweli na nyinyi mnaukumbatia huo udanganyifu "... ukisikia brain washed ndio hiyo sasa ....
Hebu tazama hizo picture kwanza uone jinsi watu weusi tulivyo kuwa tumepiga hatua tangu kitambo "
Tangu kitambo hicho tulikuwa tumeshavuka bahari na kuwatawala wazungu " kabla ya mchezo kugeuka na wao kututawala sisi View attachment 971767View attachment 971770

Ndio " waarabu walikuwa wanakuja sana kufanya biashara tanganyika na walikuwa wana badilishana bidhaa mbali mbali ikiwemo vitambaa na shanga "....Ata mtanganyika alivaa ivi
Hahaa michoro ni sehemu ya sanaa inayoweza kuzungumzia history pia .. ndio wazee wa kale wa misri walikuwa wanahifadhi kumbukizi zao kwaajili ya vizazi vijavyo kwenye ma-pyramids kwa kutumia michoroMbona kama za kuchora