kwani lazima????

Kongosho ndugu yangu hao hao unaowapa no. ni watu unaohusiana nao kikaz. afu smtime huez mnyima na.mtu kwan co wote wenye nia mbaya. . . mf.kaja mteja mkanegotiate mpk mkamaliza thn akakuomba no.for further action utamnyima?

Si nasikia huwa mnadai eti kutongozwa raha?
 
Last edited by a moderator:
afu huwa unalia ukinyimwa namba wewe???

Asprin ndo atajiju kuvamia vilulu vya chit chat


He he he fomu foo '72? Ila ujue ndo nimekusana madini ya ayani mengi kwenye maini lol

We Kongosho wewe,unajishaua sio? Aliyeanza kuomba namba ya mwenzie nani,sio wewe?
Halafu nshakushtukia wewe ndo umem report abuse Asprin,tabia mbaya! Hivi ulitaka akulambe wewe tu,ili iweje? Unadhani vi spring chicken havioni,we kibibi wa kazi gani,fom fo yenyewe ulimaliza 1972.
 
Last edited by a moderator:
haya bana

Tena shost ndo ukute mdada mwenyewe 'Mashallah',
Basi utakoma,
mpaka usiku mnene unasumbuliwa.
HULALI..!!??
Kazi kupiga simu na ku-text,
Ukiona mtu ha-reply chochote ktk simu yako,jiulize EBO...!!!
Nna hasira Maana mijitu hii imejaa Mtaani kwetu.
Na sijui wanapataga wapi namba zetu.
SAMAHANI JAMANI SIJAMLENGA MTU YEYOTE
NI HASIRA TU
MSININUKUU VIBAYA
 
Tena shost ndo ukute mdada mwenyewe 'Mashallah',
Basi utakoma,
mpaka usiku mnene unasumbuliwa.
HULALI..!!??
Kazi kupiga simu na ku-text,
Ukiona mtu ha-reply chochote ktk simu yako,jiulize EBO...!!!
Nna hasira Maana mijitu hii imejaa Mtaani kwetu.
Na sijui wanapataga wapi namba zetu.
SAMAHANI JAMANI SIJAMLENGA MTU YEYOTE
NI HASIRA TU
MSININUKUU VIBAYA

yan mamie inabore kweli! mtu haelewi somo
 
yan mamie inabore kweli! mtu haelewi somo

Wanakera sana hawa watu Charm,
Halafu ukute ndo kasoma kidogo,un'geng'e anapapasapapasa,
basi ni 'dear,honey,swir,ok,yeah'
yote ya nini?
Kwendeni kule,
tena bora hata ningekupa namba yangu,
umemfata rafik yangu ndo kakupa.
Yani Inakerajee...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom