mwana wala siwazagi kama ni madeni nshayazoea labda kama hakuna chakula home ndo ntapata stress itakayonifanya nisitamani hata kukaa kati! ila chini hapausiani na ugomvi wala stress ambazo hazihitaji kulazwa!Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani
Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy
Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini simu mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu simu nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?
Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
habari yako mrembo?he he he he wenye ndoa zenu maujuzi hayo..... weka picha basi ili tuone
he he he he wenye ndoa zenu maujuzi hayo..... weka picha basi ili tuone
hii mi nakataa ujue kitu kama umezoea hata kama unastress zinayeyuka kikubwa ni mindset usifanye akili yako kuwa rigid ifanye ikubali unachotaka kwa wakati huo yenyewe itatuma message sehyemu husika na kazi itafanyika ya kutosha tu!si busara kupiga show wakati ukiwa out of mood au umechoka na ukiwa na stress kwa kuwa hii itapunguza performance yako kwenye game na hivyo kupunguza mvuto wako kwa mwenzi wako. Si lazima kila siku upige show unaweza ukalimbikiza siku mbili au tau then ukapiga kazi ya maana ambayo itasuuza mioyo yenu. Ni ushauri tuu ........ila kubadili location tuko pamoja mzee
.......jikoni kwenye hizi nyumba zetu za kiswahili?
wamejazana ndugu hadi majirani wa kijijini kashozi?
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani
Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy
Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini simu mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu simu nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?
Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?
fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
hii mi nakataa ujue kitu kama umezoea hata kama unastress zinayeyuka kikubwa ni mindset usifanye akili yako kuwa rigid ifanye ikubali unachotaka kwa wakati huo yenyewe itatuma message sehyemu husika na kazi itafanyika ya kutosha tu!
kwanza usinifundishe uoga bank kitu gani mbona nafanya na nnachelewa muda wa kutoka wala haini affect? we sema ndani ya hizo stress zako moja wapo ni yeye an fb yake, na whats up yake, na upuuzi wa kujifanya ohh kazi nyingi nachoka sana, as a source ya stress yako ndo maana hutamfeel pili hiyo kukaa muda mrefu ni kitu kingine kinaitwa boredom na sio uchovu wala stress! halafu kujieleza hujui Bank unafanya Post gani? i think back office!siku moja wewe na mkeo mtakapoajiriwa kwenye institution zilizo busy kama bank na pia ukiishi kwenye ndoa kwa miaka kama mitano na kuendelea utaelewa ninachomaanisha kuhusiana na uchovu wa kazi na stress vina impact gani kwenye mambo yetu yale ila kama umejiajiri au mama yuko idle tuu nyumbani ni vigumu kunielewa.
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani
Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy
Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini simu mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu simu nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?
Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
kwanza usinifundishe uoga bank kitu gani mbona nafanya na nnachelewa muda wa kutoka wala haini affect? we sema ndani ya hizo stress zako moja wapo ni yeye an fb yake, na whats up yake, na upuuzi wa kujifanya ohh kazi nyingi nachoka sana, as a source ya stress yako ndo maana hutamfeel pili hiyo kukaa muda mrefu ni kitu kingine kinaitwa boredom na sio uchovu wala stress! halafu kujieleza hujui Bank unafanya Post gani? i think back office!