Kwani kuwa "Great Thinker" Inamaanisha Kuwa Mpinzani?

avatar yako inatia kinyaa,kuna waislam humu tafadhali
avatar33125_6.gif

swastika......alama hii waonyeshe WAKRISTO NA WAYAHUDI na wakwambie ni nini kwao
KWELI NYANI HAONI KUNDULE..... sio tusi mwana wa udongo
 
Unaona, tatizo ndo hili.... Kama nsipotumia fikra, ningekujibu hivi: 'na wewe kama unaona hii post haiku-impress, kwanin usisome zngine uachane nayo, au uweke ya kwako"?
Fikra ni output ya kutafakari au kutafakuri..sasa sijui unaezaje kuitumia fikra kujibu..mashuzi matupu!
Lakini kwa sababu nafikiri nakujibu hivi: think through then reply mazee, donk drink through!! Great thinkers are way ahead of ya.... if ya not! I am, take that as a compliment to you!
Great thinker, my a$$, we ndio umepewa na JK kifaa cha kuwapimia..

Kwenda zako mbunge usiyechaguliwa!, kawadanganye haohao vilaza wenzako CCM.
 
Kama ulikuwa tu unasikia neno mnafki basi usipate shida kujuwa mnafki anafananaje, jiangalia wewe kwanza utamjuwa mnafki ni mtu wa namna gani!
sasa wewe hiyo Avatar yako hauoni kama vilevile inatia kinyaa? haujuwi kama humu kuna wayahudi? au ndio nyani halioni kundule?
Yeye ni great thinker...
 
mada yako itafutwa muda si mrefu........ongea swala la kumtetea MBOWE kuwa hana UKABILA na chadema si chama cha kidini....HAPO HATA BUTTON YA KUKUPA SENKYU ITARUDISHWA KWAKO
 
mada yako itafutwa muda si mrefu........ongea swala la kumtetea MBOWE kuwa hana UKABILA na chadema si chama cha kidini....HAPO HATA BUTTON YA KUKUPA SENKYU ITARUDISHWA KWAKO
Tengezeni forum yenu ya kukisifu chama cha mafisadi basi muone kama mtapata traffic..mbona mnang'ang'ania JF kama luba? sour grapes eeh?
 
Ndo maana matumbo yanakudondoka, hufikirii..... FIKRA NI PROCESS YA KUZALISHA OUTPUT... NA output ndo huo upupu wangu ambao kwa wewe kuuelewa mpaka urudishiwe utumbo wako, Oh sore ubongo..... or neva!!!! tehtehtehhhh!!!! Haya mambo hayalazmishwi mwana, unakumbuka walimu wako walivokua wanakulazmisha uwaone wanajua? what a bad student u've turn out 2b, inert brain....keep on living in the permanent present!

Fikra ni output ya kutafakari au kutafakuri..sasa sijui unaezaje kuitumia fikra kujibu..mashuzi matupu!

Great thinker, my a$$, we ndio umepewa na JK kifaa cha kuwapimia..

Kwenda zako mbunge usiyechaguliwa!, kawadanganye haohao vilaza wenzako CCM.
 
Elifasi, naomba utambue kwamba watu hapa (JF) wanajaribu kutoa maoni yao kama watanzania wengine, kuwa na mrengo wa kupinga maovu ya CCM ni haki yao au kuwa Great thinker ni kusapoti CCM? Kuna hoja tata nyingi ambazo serikali ya CCM imeshinda kuzishughulikia mf. Dowans, Richmond, Kagoda, Meremeta, Radar, Katiba, Wizi wa mali za Umma, uchakachuaji matokeo ya urais, meya Arusha, ufisadi UBT, Maliasili, TICS, Mramba na wezi wenzie, RA, EL. Sasa kwa utitiri wa mauvu haya unategemea wananchi watakuwa positive towards CCM na serikali yake? Ndio maana kila kona CCM inashambuliwa si hapa tu (mimi nashiriki ktk midahalo at ground level). CCM hawataki ku-deal na tatizo isipokuwa wanatafuta mchawi.

Che Guevara!

Tatizo ni kwamba ni yule ambaye kateuliwa kupiga penalt ndiye anapata (kufunga goli) au kukosa (kutofunga) akikosa ni yeye kakosa (sometimes atalia peke yake), akipata ni yeye na team nzima ina shangilia!! upo hapo!
 
Ndo maana matumbo yanakudondoka, hufikirii..... FIKRA NI PROCESS YA KUZALISHA OUTPUT... NA output ndo huo upupu wangu ambao kwa wewe kuuelewa mpaka urudishiwe utumbo wako, Oh sore ubongo..... or neva!!!! tehtehtehhhh!!!! Haya mambo hayalazmishwi mwana, unakumbuka walimu wako walivokua wanakulazmisha uwaone wanajua? what a bad student u've turn out 2b, inert brain....keep on living in the permanent present!

Fikiria sio?lol

Sina haja ya kuelewa mashuzi, eti great thinker..bwe he he he.

Kamwambie kwanza baba yako awe great thinker..nadhani yeye yupo kwene posisheni nzuri zaidi ya kukuelewa unachoongea.
 
so kuwa thinker in this context ni kuwa CHADEMA?! Kuwa CCM ni kuwa FISADI... ? Come on, dont confuse Mwanya na pengo! Ukinielewa from here we can sit on a round table and argue. Watu kama nyie ndo mlipata ugumu kumwelewa Shivji na wanazuoni. Nakwona km (RIP) profesa Shayo, au dr. Mvungi msiowaelewa wananchi kwanini hawawaelewi.... elimu ni whatchu u have ukisahau uliyofundishwa shuleni, na si kuitafuta X ukaipata!
Tengezeni forum yenu ya kukisifu chama cha mafisadi basi muone kama mtapata traffic..mbona mnang'ang'ania JF kama luba? sour grapes eeh?
 
Ndo maana matumbo yanakudondoka, hufikirii..... FIKRA NI PROCESS YA KUZALISHA OUTPUT... NA output ndo huo upupu wangu ambao kwa wewe kuuelewa mpaka urudishiwe utumbo wako, Oh sore ubongo..... or neva!!!! tehtehtehhhh!!!! Haya mambo hayalazmishwi mwana, unakumbuka walimu wako walivokua wanakulazmisha uwaone wanajua? what a bad student u've turn out 2b, inert brain....keep on living in the permanent present!

Dogo mbona una hasira? Sasa ndo gret sinka gani wewe. Mziki si umeuanzisha mwenyewe dogo? Hapo ndo utajua kuwa JF ni mboga ama mbegu? Kudadeki.
 
Tatizo hamna Mccm ambaye hafikiriii uizi , dhuluma na uchafu . Kwa hiyo wanafirikiaga upupu tu sio g. Thinker . Ndio maana unaona JF ni opposition
 
Weweeeeeeeee, jifunze kutofautisha mambo then urudi hapa chap, sawa.... (au ulkua unapita tu?) NOW NENDA NA HII - element nyingine ya kuweka fikra kazini, na kuthibitisha kama inatoa outputs za maana ni kufanya analysis.. now analyse this.

Dogo mbona una hasira? Sasa ndo gret sinka gani wewe. Mziki si umeuanzisha mwenyewe dogo? Hapo ndo utajua kuwa JF ni mboga ama mbegu? Kudadeki.
 
Binafsi sijaona shida yoyote na majibu yanayotolewa na GTs. Kuna msemo usemao, "Chungu kipikacho mifupa, hupasuliwa na mifupa." Serikali inayoiba hiharibiwa na wizi na Serikali inayowajibika hujengwa na uwajibikaji"
Sioni cha kuishadadia serikali hii, nikiwatoa, Magufuli, Mwakyembe na mmmm Tibaijuka. Wengine hamna kitu kabisa.
 
Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si pahala pake (si jukwaa la kusafisha chama au hao). Najiuliza, conventionally au hata radically, fikira zilizotukuka ni lazima zisapoti hoja inayopinga serkali/chama/fisadi au kama kuna kitu positive anaweza kiibua na kutoa analysis, na iheshmiwe as long as ni mawazo yake.

Vinginevo tuache kuiiita forum za great thinkers iwe ya great political oppositionists!!! Hili ni ANGALIZO na si kusapoti uovu au kusafisha. Nasapoti fikra si unguided, induced venomenous negativity! This way tutawaondoa wapayukaji na wapigadebe walioacha vichwa chooni na kuingia hapa na shingo pekeake!

Siasa za Tanzania kwa sasa hazina rationality kama unavyodhani. Hayo yalipita wakati wa Nyerere. Kwa hiyo na wapinzani wa sasa vile vile usitegemee wote watoe hoja rational, kwa kifupi watu WAMECHOKA. The next stage ya kuchoka kwa wapinzani ni kutumia nguvu. watu kama Museveni walipotumia nguvu si kwamba hawakuwa great thinkers, ni kwamba walichoka na wakakosa njia nyingine rational. Waliona kuwa rational hakusaidii...!!
 
Back
Top Bottom