Kwani kuwa "Great Thinker" Inamaanisha Kuwa Mpinzani?

Kwa ufipi hakuna Great Thinker anayeweza kuunga mkono ujinga wowote unaotaka kuioshha CCM na serikali yake. Great Thinkers lazima maoni yake yawatetee walio wengi sio Mafisadi. Mtoa maada hutaweza kuiosha CCM wala serikali kwa post yoyote mimi nitakuwa wa kwanza kukumaliza.
 
Weweeeeeeeee, jifunze kutofautisha mambo then urudi hapa chap, sawa.... (au ulkua unapita tu?) NOW NENDA NA HII - element nyingine ya kuweka fikra kazini, na kuthibitisha kama inatoa outputs za maana ni kufanya analysis.. now analyse this.
Elifasi, in this forum people aren't communicating before hand when giving comments. So when you see people contributing strongly against the government or CCM for that matter, at a glance you should understand that something is really wrong somewhere. Having said that, it is not you task to convince people to support the incumbent because they are doing nothing to deserve credit. What you should really be doing is to ask your fellow CCM members (I guess you are a member) to start delivering the goods and you will later get a round of applause. The way you have worded your post is like criticizing wanajamvi for not putting in a good word which is wrong if you ask me.
 
...NINA WASIWASI KAMA MESEJI INAFIKA.. SWALI HALILENGI KUTETEA CCM, KUPINGA CHADEMA WALA KU-AFFILIATE NA CHAMA. NA WALA HALILENGI KUDHARAU AU KUSHUTUMU WATOA POST AU MADA ZINAZOPINGA, PONDA AU KINZANA NA CHAMA/ITIKADI FULANI. . HOJA IKO KWENYE CLASSIFICATION YA ISSUE.. DOES IT MAKE ME A GREAT THINKER NIKISEMA -CCM NA VIONGOZI WAKE NI MAFISADI- AND NOT A GREAT THINKER NIKISEMA LOWASA NI KIONGOZI SAFI ILA MWIZI? Haiihtaji thinking, sawa na kuuliza kiatu kinauzwa shing' ngap... A CRITICAL THINKER does not neccesarily make a GREAT THINKER!!!!
 
Rafiki yangu wengi wa hao unaotarajia wakupe majibu unayoyataka si kwamba hawafahamu unachosema! Ni kwamba wamechoka wana hasira na we are running out of time! generation yetu inapita kwa kugangajwa dangajwa tu na maneno ya wanasiasa. Yaani mtu achape kazi usiku na mchana hapafu aingize nchi nzima kwenye madeni halafu mimi nimsifie! Hiyo ndio public service hiyo? Huyo mtu ana mentality ya public service, hata kama analala ofisini akifanya kazi? China wananyonga watu kama hawa. Kama unataka kutoa mifano kuna majina mengine usiyatumie sababu yanaamcha hisia nyingine. Mwingine ana mamilioni ambayo kwanza haulizwi kayapataje kama civi servant na pili anayaficha nje hata yasisaidie mzunguko wa fedha kwenye benki zetu za Tanzania. Mtu huyu vile vile anapeta tu na ataitwa mchapa kazi! Im tired of this...
 
...NINA WASIWASI KAMA MESEJI INAFIKA.. SWALI HALILENGI KUTETEA CCM, KUPINGA CHADEMA WALA KU-AFFILIATE NA CHAMA. NA WALA HALILENGI KUDHARAU AU KUSHUTUMU WATOA POST AU MADA ZINAZOPINGA, PONDA AU KINZANA NA CHAMA/ITIKADI FULANI. . HOJA IKO KWENYE CLASSIFICATION YA ISSUE.. DOES IT MAKE ME A GREAT THINKER NIKISEMA -CCM NA VIONGOZI WAKE NI MAFISADI- AND NOT A GREAT THINKER NIKISEMA LOWASA NI KIONGOZI SAFI ILA MWIZI? Haiihtaji thinking, sawa na kuuliza kiatu kinauzwa shing' ngap... A CRITICAL THINKER does not neccesarily make a GREAT THINKER!!!!
Wewe unatakaje? Jijibu mwenyewe basi au kama unataka ujiko basi omba tukupe mji ujibu mwenyewe sisi tumeshindwa!
 
Hapana Great Thinker is mpinzani (tu), great thinker ni yule anayeweza kuweka hisia zake pembeni, na kuangalia jambo kwa kutumia logic zaidi. Ni mvumilivu, na anapenda kusikiliza wenzake kabla hajakurupuka kujibu mambo kwa jazba. Pia anaheshimu mawazo ya wengine, hata kama yanapingana na mawazo yake binafsi.
 
A CRITICAL THINKER does not neccesarily make a GREAT THINKER!!!! (mji utanipa IGUNGA ngoja nijijibu mwenyewe mapemaaaaaaaaaaaa.........)

Wewe unatakaje? Jijibu mwenyewe basi au kama unataka ujiko basi omba tukupe mji ujibu mwenyewe sisi tumeshindwa!
 
Elifasi! hivi shuleni ulikuwa unapata maksi gani? hii ni Jukwaa la siasa @ jamiiforums! ulitaka tuongelee wanawake na pombe humu?

kwani zomba, malaria sugu na wewe mwenyewe unamwakilisha nani? kwenda kavae pedi!
 
Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si pahala pake (si jukwaa la kusafisha chama au hao). Najiuliza, conventionally au hata radically, fikira zilizotukuka ni lazima zisapoti hoja inayopinga serkali/chama/fisadi au kama kuna kitu positive anaweza kiibua na kutoa analysis, na iheshmiwe as long as ni mawazo yake.

Vinginevo tuache kuiiita forum za great thinkers iwe ya great political oppositionists!!! Hili ni ANGALIZO na si kusapoti uovu au kusafisha. Nasapoti fikra si unguided, induced venomenous negativity! This way tutawaondoa wapayukaji na wapigadebe walioacha vichwa chooni na kuingia hapa na shingo pekeake!

sirikali hii na chama chake mbona ndo wanayajua matusi!!! umesahau maasikofu wameabiwaje? je hawa mnaita uvccm hawakutukana, tena hao ni watoto wakitukana baba yao.... haya ni maadili ya watz kweli?
 
Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si pahala pake (si jukwaa la kusafisha chama au hao). Najiuliza, conventionally au hata radically, fikira zilizotukuka ni lazima zisapoti hoja inayopinga serkali/chama/fisadi au kama kuna kitu positive anaweza kiibua na kutoa analysis, na iheshmiwe as long as ni mawazo yake.

Vinginevo tuache kuiiita forum za great thinkers iwe ya great political oppositionists!!! Hili ni ANGALIZO na si kusapoti uovu au kusafisha. Nasapoti fikra si unguided, induced venomenous negativity! This way tutawaondoa wapayukaji na wapigadebe walioacha vichwa chooni na kuingia hapa na shingo pekeake!

Umesema kweli, JF imepoteza mwelekeo imekuwa ni Tawi la CHADEMA sasa badala ya home of great thinkers. Mie niliisha wahi kusema humu kuwa JF forum tumekuwa tunatumika pasipo wenyewe kujua, tumejiingiza kulamba viatu vya wanasiasa
 
Look who is talking..lol
 
Umesema kweli, JF imepoteza mwelekeo imekuwa ni Tawi la CHADEMA sasa badala ya home of great thinkers. Mie niliisha wahi kusema humu kuwa JF forum tumekuwa tunatumika pasipo wenyewe kujua, tumejiingiza kulamba viatu vya wanasiasa

hii ni jamii forum..... unaruhusiwa kufungua genge lako la kijasusi humu jamvini...hata sisiem wanaweza kuwa na tawi lao...ukienda kwenye jukwaa la biashara na uchumi kuna wana JF wameanzisha umoja wao wa kutafuta fursa za kilimo na mifugo...life goes on like any society.....why not CDM ..... waache nao wawe na tawi lao
 
so kuwa thinker in this context ni kuwa CHADEMA?!Kuwa CCM ni kuwa FISADI... ? Come on, dont confuse Mwanya na pengo! Ukinielewa from here we can sit on a round table and argue. Watu kama nyie ndo mlipata ugumu kumwelewa Shivji na wanazuoni. Nakwona km (RIP) profesa Shayo, au dr. Mvungi msiowaelewa wananchi kwanini hawawaelewi.... elimu ni whatchu u have ukisahau uliyofundishwa shuleni, na si kuitafuta X ukaipata!
WHY should i sit with a self-claimed thinker kaa wewe? i have better things to do. btw, mie sie mwanasiasa na sina political affiliation na siasa zenu uchwara so the whole bunch of ur idiotic hallucination is pure comedy to me.
 
Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si pahala pake (si jukwaa la kusafisha chama au hao). Najiuliza, conventionally au hata radically, fikira zilizotukuka ni lazima zisapoti hoja inayopinga serkali/chama/fisadi au kama kuna kitu positive anaweza kiibua na kutoa analysis, na iheshmiwe as long as ni mawazo yake.

Vinginevo tuache kuiiita forum za great thinkers iwe ya great political oppositionists!!! Hili ni ANGALIZO na si kusapoti uovu au kusafisha. Nasapoti fikra si unguided, induced venomenous negativity! This way tutawaondoa wapayukaji na wapigadebe walioacha vichwa chooni na kuingia hapa na shingo pekeake!

Umeongea maneno mazuri sana, hata mimi nakuunga mkono, tupe hizo positive comments za kuipongeza serikali yetu, labda wengi wetu humu JF vichwa vimedata hatuoni utendaji mzuri wa serikali hii, tetea hoja kwa mitizamo yako .
 
Inatia kichefu chefu kupeana labels zisizo na kichwa wala miguu unless kuna watu wako so egoistical na attention w****s ambao wanaona raha kuambiwa hivyo

Kule ethink tank kuna better thinkers than here lakini huoni wakiitana GREAT THINKER this and that

its cheap and immature
 
Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si pahala pake (si jukwaa la kusafisha chama au hao). Najiuliza, conventionally au hata radically, fikira zilizotukuka ni lazima zisapoti hoja inayopinga serkali/chama/fisadi au kama kuna kitu positive anaweza kiibua na kutoa analysis, na iheshmiwe as long as ni mawazo yake.

Vinginevo tuache kuiiita forum za great thinkers iwe ya great political oppositionists!!! Hili ni ANGALIZO na si kusapoti uovu au kusafisha. Nasapoti fikra si unguided, induced venomenous negativity! This way tutawaondoa wapayukaji na wapigadebe walioacha vichwa chooni na kuingia hapa na shingo pekeake!

Well if you write something not logic you will get messages. It's true idea still an idea but it can be only yours and we have right to voice our opinion too thats why we call it forum. That's means if you get criticized a lot just know that you writing some thing not relevant to most people. So make sure you know what you are talking about....please people don't get offended by opinions the main purpose is to bring awareness to the issues of our country.
 
Hapana Great Thinker is mpinzani (tu), great thinker ni yule anayeweza kuweka hisia zake pembeni, na kuangalia jambo kwa kutumia logic zaidi. Ni mvumilivu, na anapenda kusikiliza wenzake kabla hajakurupuka kujibu mambo kwa jazba. Pia anaheshimu mawazo ya wengine, hata kama yanapingana na mawazo yake binafsi.

U'r a realy Great thinker.Thanx 4 good n nice comment.
 
Back
Top Bottom