Kwani kuolewa ni jambo kubwa sana?

Kuna dada amezaa tu Ila hajaolewa na anamaisha mzur anajiweza kwa kila kitu bt Kuna cku alisema nataman sna nipate mwanaume wa kuish nae hata Kama Hana kitu mwanaume ana nafasi yake kubwa katika maisha ya mwanamke Yan Kuna kipind hata ucpo sema adharan lakn moyon ipo hyo unataman angekuepo maana haya maisha ya upande wa pil n Zaid ya sex huyo Dada unaesema Yuko sahihi kabsa alaf pia wale wataalum wa kudadavua Mambo hapa unaonyesha uko kweny stress Kali na njia yako ya kuzpinguza n kujifarij hv [emoji1]
 
Kwel kabsa Yan tatzo tukikutana wote jua lishazama tunadanganyana sna[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…