my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kwani nimeandika points? naonekana nipo very mature? Thank you 😂Mbona mwandiko wako kama una miaka 35+ hivii...mmmh!!!🤔
Kweli kla mtu anaangalia tofauti ila sometimes mtu mpk anakuwa km tatizo mtu hawazi ktu kingine zaidi ya kuolewa. Mfano hyu roommate wangu ni doctoral student lakin sikumbuki nilimuona lini anasoma 😂kla siku kwa seminars.Kila jambo ni 'Kubwa' na pia ni 'Dogo' katika maisha ya mtu.
Inategemea limepewa nafasi gani katika fikra zake.
Aibu ya nini?Mwanamke akiwa ameolewa inamuongezea HESHIMA...Ebu fikiria upo above 30 bado unakaa kwenu hauoni aibu m/ke?
Unamaanisha nn?Thamani yenu ishashuka
Kuonekana NUNGAYEMBE kwa JAMII.Aibu ya nini?
Mimi siwezi kuzeeka bila mume. Halaf kuwa alone inategemea na mind yko unavoisetUkizeeka ndo utajua umuhmu wa mume, utakavyokuwa mpweke.. Mana kila m2 atakuwa busy na yake.. Unajikuta uko alone.. Pili kokote utakapokwenda, kama umri mkubwa na hujaolewa huwez kuthaminiwa hata kama una hela.
Kwan wasioolewa hawasex?Sex sex sex ndio matokeo ya ndoa.
WE DIE FOR WHAT WE LOVE