Haaahaaa eti ukizaa wako usipozaa wetu[emoji1787][emoji1787]Unafiki!ukizaa ni wako,usipozaa ni wetu.
Anyway tunatabia ya kushughulika sana na yasiyo tuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua kabisa mtu wamefirigisa mpaka vichwa kadhaa vimepita hapo lakini kishepu kama rula!!!lakini atamvaa braza wa watu kwa majaaliwa yake mpaka ushangae! Watanzania ni nowma,hata ulaya hatuwezekani.
Kwa hiyo inabid ambae hana mtoto mpaka kufika miaka 50+...awe ameshaaga duniaa.Kuna wimbo unasema.'kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe'.ukitaka kujua umuhimu wa mtoto fika miaka 50+ na usiwe na mtoto,utaona chungu na tamu ya maisha. Tunakuwa na ujasiri kwa sasa kwa sababu tunatumia hisia za chini kujenga hoja.Mtoto wako ndio rafiki yako kabla ya Ashura,Juma n.k
ha ha ha ha,umri unavyozidi kusogea ndio matamani ya kuwa na mtoto yanaongezeka.Pia ukikongoroka(ukizeeka) kama huna mtoto pamoja na mali utakuwa ni mtu wa kulaani watu tu au kuwa mchawi.Kwa hiyo inabid ambae hana mtoto mpaka kufika miaka 50+...awe ameshaaga duniaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea jamii ya waafrika au hata za magharibi ?
Kuna wimbo unasema.'kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe'.ukitaka kujua umuhimu wa mtoto fika miaka 50+ na usiwe na mtoto,utaona chungu na tamu ya maisha. Tunakuwa na ujasiri kwa sasa kwa sababu tunatumia hisia za chini kujenga hoja.Mtoto wako ndio rafiki yako kabla ya Ashura,Juma n.k
Nazani kikubwa ni kuwa na mali tu, hata watoto wa jirani yako watahamia kwakoha ha ha ha,umri unavyozidi kusogea ndio matamani ya kuwa na mtoto yanaongezeka.Pia ukikongoroka(ukizeeka) kama huna mtoto pamoja na mali utakuwa ni mtu wa kulaani watu tu au kuwa mchawi.
ha ha ha ha kuna usemi usemao 'zimwi likujualo halikuli likakwisha'Watu wenye 50+ mbona wengi tu kitaa na pamoja kuwa na watoto bado wanaonekana wako frustrated
Nachokiona .. issue sio kuwa na watoto but how are you prepared for old age?
Sent using Jamii Forums mobile app
hii huwa inatesa wengi sanaNazani kikubwa ni kuwa na mali tu, hata watoto wa jirani yako watahamia kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi ona kwa mzee ambae ana mali nyumbani kwake pakakosa watu wa kumsaidia.ha ha ha ha kuna usemi usemao 'zimwi likujualo halikuli likakwisha'
hii kutegemea mtoto wa mwenzio ni utapeli mtupu,na yeye ana mitazamo yake pamoja na familia aliyotoka.
wanakuwepo ila wengi wanakuwepo kiunafiki tuSijawahi ona kwa mzee ambae ana mali nyumbani kwake pakakosa watu wa kumsaidia.
Hata mimi naogopa kufika uzeeni huna mali na watoto...itakua machungu double
Sent using Jamii Forums mobile app