Kwani kesi ya kutekwa msanii Roma iliishia wapi?

CWR2016

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
2,760
6,294
Habari wana JF.

Hivi lile tukio la kutekwa msanii Roma Mkatoliki kesi yake imeishia wapi?

Roma alisema maelezo yote waliyoyataka polisi amewapa na kila kitu ameeleza.

Roma yupo. IGP yupo.

Nakumbuka ktk tukio la Lissu, Sirro anasema wanamsubiri Lissu na dereva.

Je, hili la Roma, wanamsubiri nani, Osama au Idd Amin?///


......Aibu yenu polisi.

Unaharibu sana nchi hii.
 
Wajiteke wenyewe watengeneze tukio wenyewe la kujipiga risasi sasa hapo kesi ya nn
 
Back
Top Bottom